Mkuu naomba ku "declare interest" kuwa mimi ni mshabiki wa SimbaWale Jamaa.wamehama Porini na wamehamia Mezani
Sawa ila mm nimesema tu kwamba Siku hizi Wamehama Porini Wamehamia MezaniMkuu naomba ku "declare interest" kuwa mimi ni mshabiki wa Simba
-ila naomba uniambie kuwa tatizo la ile kamati ya saa 72 ni nini?
-na pia niambie kama hizi sheria zimepitwa na wakati tufwate sheria zipi??(kwa makosa ya timu kutotunza rekodi)
Haya mengine yanayotokea ni show off tu za watu. Ligi yetu mbovu na imejaa ushabiki
Poleni yanga imekula kipande yenu wakati huu
Jenga maisha yako acha kuwaza utahira, hukuzaliwa kuikosoa TFF ulizaliwa ili uwe mtawala katika dunia hii,Haya mambo ya Timu kunyang'anywa point kiukweli si mazuri.
Sheria ziangalie makosa yaliyojitokeza na kutoka adhabu lakini matokeo ya uwanjani yabaki kama yalivyo.
Kiukweli timu kupewa pointi za mezani ni kizamani sana
Sheria ziangaliwe upya kwa TFF
Haya mambo ya Timu kunyang'anywa point kiukweli si mazuri.
Sheria ziangalie makosa yaliyojitokeza na kutoka adhabu lakini matokeo ya uwanjani yabaki kama yalivyo.
Kiukweli timu kupewa pointi za mezani ni kizamani sana
Sheria ziangaliwe upya kwa TFF
Matokeo ya uwanjani yabaki kama yalivyo na kama kuna timu inafanya makosa then wapate adhabu kwa hayo makosa bila kuathiri matokeo ya mchezo.Hoja yako ni ipi? Sheria ziangaliwe upya au kagera arudishiwe points tatu??..we unataka nini kati ya hivyo hebu chagua moja uwe huru maana naona huelewi unataka nn mpaka sasa
Hivi una matokeo ya Kirumba leo?Mkuu naomba ku "declare interest" kuwa mimi ni mshabiki wa Simba
-ila naomba uniambie kuwa tatizo la ile kamati ya saa 72 ni nini?
-na pia niambie kama hizi sheria zimepitwa na wakati tufwate sheria zipi??(kwa makosa ya timu kutotunza rekodi)
Haya mengine yanayotokea ni show off tu za watu. Ligi yetu mbovu na imejaa ushabiki
Poleni yanga imekula kipande yenu wakati huu
Matusi yanatoka yapi tena ndugu, haya mambo ya timu kupewa point za mezani si ya kuendeleza soka hapa nchini.Jenga maisha yako acha kuwaza utahira, hukuzaliwa kuikosoa TFF ulizaliwa ili uwe mtawala katika dunia hii,
amka toka usingizini wewe
yeah na admit sijatumia maneno mazuri, ila point yangu ni kwamba kuna vitu hatuna ulazima wa kuumiza kichwa kwavyo. Mfano mfumo wa mpira wa Tanzania, tangu nikiwa mdogo mpaka sasa malalamiko hayaishi na maendeleo yanaonekana kwa kurudi nyuma BADALA ya kwenda mbeleMatusi yanatoka yapi tena ndugu, haya mambo ya timu kupewa point za mezani si ya kuendeleza soka hapa nchini.
Timu ziadhibiwe kwa makosa yao lakini matokeo ya mechi yabaki kama yalivyo.
Sasa ndugu kutoa tu comment basi imekuwa nongwe ndiyo matusi tu mmmh.
Bado sina mkuu. Niambie imekuaje mkuuHivi una matokeo ya Kirumba leo?
Sawa ila mm nimesema tu kwamba Siku hizi Wamehama Porini Wamehamia Mezani
Ni kweli kabisa mkuu. FIFA ilishaacha kutoa adhabu za kulipa faini ya pesa baada ya kuona hilo haliviumizi vilabu kwani vilabu ni tajiri sana na badala yake wakaanza kutoa adhabu ambazo kwa namna moja ama nyingine zitaathiri matokeo ya timu.Duniani kote, ukichechezesha mtu ambaye bado anatumikia adhabu ya kadi unapoteza mchezo labda tutunge sheria za kivyetu. Na hata bongo hili la kagera sio geni kabisa isipokua limetokea mida mibaya kwenye vita ya ubingwa. Na Kama utaweka faini kwa timu kwa kosa hilo itakua kadi zimepungua makali manake barca wanaweza kumchezesha neymar akiwa na red kisha wakamlipia faini.
Atawale hewa au pamoja na TFF?Jenga maisha yako acha kuwaza utahira, hukuzaliwa kuikosoa TFF ulizaliwa ili uwe mtawala katika dunia hii,
amka toka usingizini wewe
Matatizo ya Akili, soka ni mchezo na una sheria, bila sheria za Soka hakuna soka lenyewe, simba Azam wote wameshawahi kupoteza point mezani. TP Mazembe alishatolewa mezani Champion league dhidi ya Simba walimchezesha Javier Bokungu ambaye transfer yake ilikuwa bado kutoka Esperance kwenda MazembeHaya mambo ya Timu kunyang'anywa point kiukweli si mazuri.
Sheria ziangalie makosa yaliyojitokeza na kutoka adhabu lakini matokeo ya uwanjani yabaki kama yalivyo.
Kiukweli timu kupewa pointi za mezani ni kizamani sana
Sheria ziangaliwe upya kwa TFF
Sijayaona hayo ligi yoyote ya ulaya na makosa wanafanya kama haya na rufaa tunazisikia sana,nachokisikia ni kupigwa faini au mchezaji kufungiwa au Viongozi kupata adhabu,au timu kulipa faini.Matatizo ya Akili, soka ni mchezo na una sheria, bila sheria za Soka hakuna soka lenyewe, simba Azam wote wameshawahi kupoteza point mezani. TP Mazembe alishatolewa mezani Champion league dhidi ya Simba walimchezesha Javier Bokungu ambaye transfer yake ilikuwa bado kutoka Esperance kwenda Mazembe