Sheria za nidhamu katika Jeshi

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,007
2,445
Naona zipo sheria za nidhamu hapa za Jeshi l Marekani ambazo zinafanana sana na sheria za JWTZ.

1. Accessory aftet the fact

2. Attempt(attempted murder,etc.)

3.Conspiracy. an agreement by two or more people to commit a crime in the future. Criminal law in some countries or for some conspiracies may require that at least one overt act must also have been undertaken in the furtherance of that agreement to constitute an offence..

5. Solicitation(act of offering or attempting to purchase,goods or services. Legal status may be specific to the time or place where this occurs).g.

6. Fraudulent enlistment,appointment or separation.

7. Unlawful enlistment,appointment or separation.

8. Desertion

9. Absence without leave awol.

10. Missing movement(desertion)
 
11. Contempt towards officials.

12. Disrespect towards superior commissioned officer.

13. Assaulting or wilfully disobeying superior commisioned officer.

14. Insurbodinate conduct towards warant officer,non-commissiobed officer or petty officer.

15. Failure to obey order or regulation

16. Cruelty and maltreatment.

17. Resistance,flight,breach of arrest and escape.18.releasing prisoner without proper authority..

19. Unlawful detention.

20. Non-compluance with procedursl rules.
 
22. Misbehaviour before the enemy.

22 .surbodinate compelling surrender.

23. improper use of countersign.

24. forcing a safeguard.

26. Aiding the enemy.

27.Misconduct as prisoner.

28. Spies.

29. Espionage.

30. False official statements.
 
31. Military property of the United States-loss,destruction or wrongful disposition

32. Property other than military proprty of the United States-wastage,spoilage,or destruction.

33. improper hazarding of a vessel.

Drunken or reckless operation of a vehicle,aircraft or vessel Drunk on duty.
 
- Wronful usr,possesion of controlled substance.
- Misbehaviour of sentinel
- Dueling
- Malingering
- Riot or breach of peace
- Provoking speeches or gestures.
- Murder
- Manslaughter
- Death or injury of unborn chid.
- Rape and carnal knowledge
- Stalking.
 
Larceny and wrongful appropriation
Robbery
Forgery
Making,drawing,or offring speech,draft or order without sufficient funds.
Maiming.
Forcible sodomy,bestiality.
Arson.
Extortion
Assault.
Burglary.
Housebreaking.
Perjury
Frauds against the Unute Stated.
Conduct unbecoming an officer and a gentleman
General Articles (C66)
 
So what the concept?

Kabla ya kuanza kumuuliza concept yake ni nini anza pia kuangalia leo ni tarehe ngapi ukimaliza jiridhishe je mwezi umeshaondoka au bado unaandama mwishowe utapata jibu zuri tu la kumuhusu huyo uliyemuuliza. Nadhani utakuwa umenielewa Mkuu!
 
Sheria ndio hizo,zimeisha. Yaani zinaonekana kama zinatosha kwa sasa..Hizi ni sheria za jeshi la Marekani lakini utaona kama hakuna nidhamu katika familia,au mahala pa kazi au shuleni,unaweza kutumia sheria kama hizi. Hizi ni sheria za jeshi,hata Jeshi al Islam lazima zitumie sheria hizi.
 
Andrew Nyerere umeeleweka, kwa hiyo suala la wanajeshi wetu walinda amani huko Congo wameliabisha taifa kwa kubaka na uchafu mwingine. Unashauri ikigundulika ni kweli ni adhabu gani wanaweza kupatiwa ili kurudisha nidhamu yao.
 
Kabla ya kuanza kumuuliza concept yake ni nini anza pia kuangalia leo ni tarehe ngapi ukimaliza jiridhishe je mwezi umeshaondoka au bado unaandama mwishowe utapata jibu zuri tu la kumuhusu huyo uliyemuuliza. Nadhani utakuwa umenielewa Mkuu!


Mzee vipi tena huyu.

Daaah

kumbe bado ni mwezi 4 mwezi wenye ile tarehe maarufu.



 
Hizi sheria zinaitwa Uniform Code of Milutary Discipline. Zinahusu majeshi yote ya United States;yaani,Marines,Air Force.Coast Guards. Wewe huzielewi,lakini JWTZ wakitazama hapa,au Immigration au JKT au Usalama wa Taifa,watasema,excellent. And now I am signing off.
 
Andrew Nyerere umeeleweka, kwa hiyo suala la wanajeshi wetu walinda amani huko Congo wameliabisha taifa kwa kubaka na uchafu mwingine. Unashauri ikigundulika ni kweli ni adhabu gani wanaweza kupatiwa ili kurudisha nidhamu yao.

Halafu kuna Wajeda fulani jana nimebishana nao mno juu ya hili na majibu yao kwangu wanasema kuwa Wazungu wanawasingizia kwa wivu wao juu yao kutokana kwamba utendaji wao wa Kazi na Majukumu ya Kijeshi huko DRC ni wa kutukuka huku wengine wakisema kuwa hayo makosa ni ya Wanajeshi binafsi na Jeshi kama TAASISI halihusiki hata kiduchi na UPOPOMA wao ila baadae KURUGENZI YA MAWASILIANO YA JESHI LA JWTZ ikaja na press release moja nzuri na yenye HOJA ya msingi ambayo iliwaumbua wale Wanajeshi waliokuwa wanajitetea kwa HOJA nyepesi. Kwa maneno kadhaa tu press release ilisema kuwa nanukuu " JWTZ limepokea taarifa hizi kwa masikitiko makubwa na kwamba uchunguzi kabambe umeanza kufanyika na endapo itathibitika kuwa hilo lililosemwa na Wanachi wa Congo ni kweli basi JWTZ litawachukulia hatua kali sana za KINIDHAMU hao MAASKARI wake " mwisho wa kunukuu. Sasa nina swali kama matendo hayo yamefanywa kwa matakwa binafsi na hao WAJEDA wetu huko Congo iweje JWTZ liingilie kati? Si lingeachana nalo tu na wao waendelee na majukumu yao? Hongera sana KURUGENZI YA MAWASILIANO YA JWTZ KWA KUONYESHA UELEDI WA HALI YA JUU KATIKA KULITOLEA UFAFANUZI HILI JAMBO na nyie Maaskari mlionijibu jana kwa majibu mepesi mnanipa mashaka na uwezo wenu wa kuchambua issues zenye kuhitaji utulivu mkubwa sana wa kifikra katika kuzijibu.
 
Back
Top Bottom