Sheria za kazi kwa wageni nchini kwetu ni zipi????

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Wana JF,

Leo nimekuja kwenu kupenda kujua na kama kuna mtu yeyote atupe kujua sheria za Kazi kwa wageni (Expertises) ndani ya nchi yetu ni zipi
eg.
Kwa Mfano Exprt Akiajiriwa hapa TZ anatakiwa fanya kazi Muda gani au Mkataba wake unaishia kikomo miaka mingapi?

Je ni sekta ngapi za serikali zina husika katika swala la ajira za wageni na wajibu wao ni upi kijua ni wageni wangapi wameajiria ndani ya nchi?

Je ajira hizi hutangazwa kwa vyombo vya habari ndani na nje ya nchi?

Je ni idadi ngapi ya wageni kuajiriwa katika kampuni mmoja eg Bank,Hospital,Hotels, Law Firm,Viwandani?

Je katika kumwajiri mgeni ndani ya nchi yetu katika nyanja mbalimbali kama ni Mume anastahili je Mkewe anastahili kuajiriwa pia au ndani ya hiyo kampuni au kampuni nyingine? au ni mmoja tu kayi ya mume na mke ndio anapaswa kuajiriwa?


Nimeuliza haya kwani kumetokea wimbi kubwa la ajira za wageni kuliko watu wa ndani katika nyanja mbali mbali hata ambazo zinawahitaji watanzania bali zapewa kwa wageni na unakuta matajiri wa mali hizo ni watanzania wale wale esp wenye asili za kia Asia, hata watanzania wenzetu pia.

Changia maoni yenu hapa tupate mwafaka na tujue jinsi ya kuliwakirisha bungeni April
 
Back
Top Bottom