Sheria za Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria za Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Gmo P, Jul 8, 2012.

 1. G

  Gmo P New Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninayo shida kidogo ndugu zangu kulingana na Sheria kuhusu Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu. Nahitaji kufahamu kwamba; Je mwanafunzi anayo haki ya kuishitaki Bodi pale inapokuwa imechelewesha kumpatia mkopo (fedha) kwawakati kama inavyotakiwa wakati mi mnufaika wa mkopo.?Na kama anaweza kushitaki anaweza kuomba fidia za gharama ambazo amezipata kutokana na kucheleweshwa kwa mkopo (fedha) hizo kutoka Bodi?
   
 2. GP

  GP JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  dah, mkuu we kua mpole tu maana kuishtaki ni sawa na kunyang'anyana kisu na serikali ilhali wewe umeshika makali!.
  hua kuna mapungufu mengi sana kwenye taasisi za serikali katika kutoa huduma kwa mwananchi kisheria.
  mfano kisheria ni kosa kuchelewa kulipa bili ya umeme tanesko, lakini wao wakikata umeme au mgao sheria haisemi kwamba ni kosa na wanapaswa kuwajibishwa.
  maoni yangu tu, sijui mambo ya sheria.
   
Loading...