Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 10,766
- 18,620
Km ndiye maana alizaliwa mwaka 1948 basi kaweka rekodi ya kipekee bongo !
Km ndiye maana alizaliwa mwaka 1948 basi kaweka rekodi ya kipekee bongo !
Tanzania hakuna kisichowezekana, vijana hawana ajira lakini ajira wanazo wazee waliostaafuKm ndiye maana alizaliwa mwaka 1948 basi kaweka rekodi ya kipekee bongo !
Tunaangalia utendaji...hayo Mengine utajaza mwenyewe na familiayako.Km ndiye maana alizaliwa mwaka 1948 basi kaweka rekodi ya kipekee bongo !
Tanzania hakuna kisichowezekana, vijana hawana ajira lakini ajira wanazo wazee waliostaafu
By the way, hili la Dakta Slaa vipi kuhusu umri ? Coz nakumbuka kuna kipindi Mabalozi walistaafishwa baada kuufikia umri huo wa kustaafu.
Sasa dakta Slaa ni vipi! Na kwani umri wa kustaafu Mabalozi si ni sawa na watumishi umma wengine! Maana dakta Slaa alizaliwa 29/10/1948 so ana miaka 69 sasa....Hapa imekaaje! Najaribu kuwaza tu na wala simuonei 'wivu' dakta Slaa......
Nobody is lamenting and by the way, the question was….Is the appointment constitutional if you are to weight his age Vs government legislation on age restrictions. Dr. Slaa had already distanced himself with party politics so got no effect when it comes to party politics.anyway keep on lamenting while the nest is getting empty!!!
simple logic
mfano:-
askari wa jwtz umri wa mwisho wa utumishi jeshini ni 55- 60 years old up to 65 ( special veterans). Halafu anateuliwa kuwa mkuu wa wilaya au mkoa au katibu wa wizara, why? ina maana ni makosa kisheria? au ni sahihi?
Mkuu mbona unachanganya mambo1 Umeulizwa kama kuna mstaafu unamjua ameteuliwa kuwaKatibu Mkuu wa Wizara....Uwaziri sio utumishi wa Umma kaka, hiyo ni nafasi ya kisiasa na unaipata kama wewe ni mbunge wa kuteuliwa au wa kugombea jimbo ama wa Viti maalum. Ukatibu Mkuu hautokani na wewe kuwa mbunge bali ni nafasi katika utumishi wa Umma.
tofautisheni vitu hivi:-
1.Utumishi wa umma wa kuajiriwa( mfano ualimu, uuguzi, uaskari n.k) huu una ukomo wa kisheria wa utumishi na kustaafu.
2. utumishi wa kuteuliwa, huu hauzingatii umri wa kusheria kustaafu, mfano mkuu wa wilaya, mkoa, waziri, balozi n.k
Rais yupo sahihi, kwa hiyo pambaneni na hali zenu wajomba!!
Sheria inaruhusu kufanya kazi kwa mkataba maalum baada ya umri wa kustaafu kufikaBy the way, hili la Dakta Slaa vipi kuhusu umri ? Coz nakumbuka kuna kipindi Mabalozi walistaafishwa baada kuufikia umri huo wa kustaafu.
Sasa dakta Slaa ni vipi! Na kwani umri wa kustaafu Mabalozi si ni sawa na watumishi umma wengine! Maana dakta Slaa alizaliwa 29/10/1948 so ana miaka 69 sasa....Hapa imekaaje! Najaribu kuwaza tu na wala simuonei 'wivu' dakta Slaa......
May be umesahau.....huyuhuyu Jamaa alistaafisha mabalozi na moja ya sababu iliyotolewa ni umriKwa ufahamu wangu mimi Ubalozi unaangukia kwenye utumishi kama ualimu, uuguzi, n.k. Hivyo muda wa kustaafu ni miaka 60.
By the way, hili la Dakta Slaa vipi kuhusu umri ? Coz nakumbuka kuna kipindi Mabalozi walistaafishwa baada kuufikia umri huo wa kustaafu.
Sasa dakta Slaa ni vipi! Na kwani umri wa kustaafu Mabalozi si ni sawa na watumishi umma wengine! Maana dakta Slaa alizaliwa 29/10/1948 so ana miaka 69 sasa....Hapa imekaaje! Najaribu kuwaza tu na wala simuonei 'wivu' dakta Slaa......
Makatibu wakuu pia ni wateuliwa wa rais na wana staafu wakifika 60tofautisheni vitu hivi:-