Sheria ya utumishi wa umma ikoje juu ya umri wa Dkt. Slaa?

jidanganye.. kama balozi nao wamehakikiwa vyeti kama watumishi wa ualimu, uuguzi n.k..

mtumishi yeyote wa kuteuliwa na rais sio level ya walimu

Kwa hiyo Makatibu wa Wizara na Mawaziri nao vveti vyao havikuhakikiwa kwa sababu wameteuliwa na Rais? Au umesahau Waziri Kabudi naye alihakikiwa ?
 
f0be2a74c9acb2e29e72ca34c09e4d1c.jpg

Mabalozi wanastaafu kama watumishi wengine wa umma ushahidi huo hapo.
 
tofautisheni vitu hivi:-
1.Utumishi wa umma wa kuajiriwa( mfano ualimu, uuguzi, uaskari n.k) huu una ukomo wa kisheria wa utumishi na kustaafu.

2. utumishi wa kuteuliwa, huu hauzingatii umri wa kusheria kustaafu, mfano mkuu wa wilaya, mkoa, waziri, balozi n.k

Rais yupo sahihi, kwa hiyo pambaneni na hali zenu wajomba!!
Naona unaikaribisha wknd kwa story za vijiweni asee pole uyo unae sema anateuliwa ina maana yy siyo mtumishi wa umma?mshahara wake watokea mbinguni eeehe?
 
tofautisheni vitu hivi:-
1.Utumishi wa umma wa kuajiriwa( mfano ualimu, uuguzi, uaskari n.k) huu una ukomo wa kisheria wa utumishi na kustaafu.

2. utumishi wa kuteuliwa, huu hauzingatii umri wa kusheria kustaafu, mfano mkuu wa wilaya, mkoa, waziri, balozi n.k

Rais yupo sahihi, kwa hiyo pambaneni na hali zenu wajomba!!
Wakuu wa mikoa tulioambiwa juzi wameachwa kutokana na kustaafu utumishi wa umma uliiskia au hukuskia?
 
Hakuna sheria inayopingana na raisi, kinyume chake ndo ukweli. Usiumize kichwa!
Una uhakika? Niliona mbunge mmoja wa kuteuliwa akalazimika kujiuzulu na kisha akapangiwa nafasi ya ubalozi ili kukidhi idadi ya wanawake na wanaume wanaopaswa kuteuliwa kuwa wabunge
 
Wakuu wa mikoa tulioambiwa juzi wameachwa kutokana na kustaafu utumishi wa umma uliiskia au hukuskia?
simple logic
mfano:-
askari wa jwtz umri wa mwisho wa utumishi jeshini ni 55- 60 years old up to 65 ( special veterans). Halafu anateuliwa kuwa mkuu wa wilaya au mkoa au katibu wa wizara, why? ina maana ni makosa kisheria? au ni sahihi?
 
tofautisheni vitu hivi:-
1.Utumishi wa umma wa kuajiriwa( mfano ualimu, uuguzi, uaskari n.k) huu una ukomo wa kisheria wa utumishi na kustaafu.

2. utumishi wa kuteuliwa, huu hauzingatii umri wa kusheria kustaafu, mfano mkuu wa wilaya, mkoa, waziri, balozi n.k

Rais yupo sahihi, kwa hiyo pambaneni na hali zenu wajomba!!
Si mara ya kwanza kusikia balozi fulani amestaafu utumishi wa umma na nafasi yake imejazwa na fulani. Hapo ni kweli huwa wanastaafu au wanakuwa wametumbuliwa? Nadhani wanakuwa wamestaafu.

Unaweza pia kutuletea hapa kifungu kinachotaja watumishi wa umma wanaobanwa na kigezo cha umri vs wanaoweza kuongoza hata wakiwa hawawezi kutembea kama Mugabe. Piga picha hicho kifungu utupie hapa badala ya kuandika bla bla
 
simple logic
mfano:-
askari wa jwtz umri wa mwisho wa utumishi jeshini ni 55- 60 years old up to 65 ( special veterans). Halafu anateuliwa kuwa mkuu wa wilaya au mkoa au katibu wa wizara, why? ina maana ni makosa kisheria? au ni sahihi?
Hukujibu swali ila umeniuliza swali jingine ukijibu langu na hili ntajibu
 
simple logic
mfano:-
askari wa jwtz umri wa mwisho wa utumishi jeshini ni 55- 60 years old up to 65 ( special veterans). Halafu anateuliwa kuwa mkuu wa wilaya au mkoa au katibu wa wizara, why? ina maana ni makosa kisheria? au ni sahihi?
Kuna mstaafu ambaye unamjua ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa wizara? uDC na uRC nakubaliana na ww ndo maana wapo akina Zelothe Stephen
 
Anatengeneza nchi kwanza sheria ataziangaljikuta ameenda againstia baadaye! Na hatuwezi kumshangaa akigundua ameenda against akatumua maana nyota yake ni ya utumbuzi!
 
Kumbe hakuna haja ya kupanic. Maisha yanaweza kujipa @70. Bado kama 30 hivi ili mambo yangu yapendeze. Mungu nipe imani
 
Dkt Augustine Mahiga 72 Years old now!!
13b1ab27de8a799f729fb735bf15c21c.jpg
Mkuu mbona unachanganya mambo1 Umeulizwa kama kuna mstaafu unamjua ameteuliwa kuwaKatibu Mkuu wa Wizara....Uwaziri sio utumishi wa Umma kaka, hiyo ni nafasi ya kisiasa na unaipata kama wewe ni mbunge wa kuteuliwa au wa kugombea jimbo ama wa Viti maalum. Ukatibu Mkuu hautokani na wewe kuwa mbunge bali ni nafasi katika utumishi wa Umma.
 
Umri wa binadamu unaaangalia katika Sehemu tatu. :-
1.Umri kimaumbile /phisically.
2.Umri kifikra /mentality.
3.Umri kiuhitaji /reliability.
Anyway sio kila Mwalimu anaweza kuwa Prof. na sio kila Prof. alikuwa Mwalimu.
Time will tell.
 
Mkuu mbona unachanganya mambo1 Umeulizwa kama kuna mstaafu unamjua ameteuliwa kuwaKatibu Mkuu wa Wizara....Uwaziri sio utumishi wa Umma kaka, hiyo ni nafasi ya kisiasa na unaipata kama wewe ni mbunge wa kuteuliwa au wa kugombea jimbo ama wa Viti maalum. Ukatibu Mkuu hautokani na wewe kuwa mbunge bali ni nafasi katika utumishi wa Umma.
anyway keep on lamenting while the nest is getting empty!!!
 
Back
Top Bottom