Sheria ya umiliki wa jina la kampuni

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,715
Jamani wakuu habari zenu,
Mimi nilikuwa nina swali moja naomba kuuliza
mfano ukianzisha kampuni yako na ukaipa jina la
itanzania na mfano hiyo kampuni ikawa inashughulika na vitu kama utengenezaji wa vitu vya technology na katika hivyo ukawa una products kama softwares na hardwares na ukawa unazipa majina kama itanzania softwares na ukawa na bidhaa kama TV na simu ukawa unaziita itanzania Tv na simu ukawa unaziita itanzania mobile je

swali langu ni hili....??
KAMPUNI YA APPLE INC wanaweza kuku SUE kisa umetumia title yao ya i KATIKA PRODUCT ZAKO???
NAOMBA NIELEZWE KATIKA HILI
na je ni vitu gani ukivitumia Kampuni nyingine inaweza kuku sue kisa umetumia trademark zao???
 
nenda BRELA mkuu,utapata maelezo yote ingawa inategemea mudi ya ofisa utakayemkuta.usishangae kuambiwa muhusika katoka uje kesho
 
hiyo company yako kwani haitasajiliwa? kama itasajiliwa na blera, unajua kuwa kabla jina lako hawajalisajili lazima wapige search ya nguvu kujua kama kuna mtu mwenye jina lako? that means kwa hapa tz, haitakuja itokee watu wawili kuwa na jina la kampuni moja kwa makampuni mawili, hasa hilo la kwako ambalo litakuwa la hapahapa tz. mtu wa nje pia kama akitaka kuisajili kampuni yake ya nje hapa yaani aweke tawi lake bila shaka hii procedure intafuatwa ili kusiwe na mgongano....so usiwe na wasiwasi na hilo.
 
Haina shida kabisa ili mradi umeisajili kihalali na hizo products kweli wewe ndiye unazitengeneza usije jikuta wewe ndio unashitakiwa kwa kuchukua products za watu say za nokia au lg na kujidai umeziunda wewe na kuziita sijui itanzania kitu gani.

Jamani wakuu habari zenu,
Mimi nilikuwa nina swali moja naomba kuuliza
mfano ukianzisha kampuni yako na ukaipa jina la
itanzania na mfano hiyo kampuni ikawa inashughulika na vitu kama utengenezaji wa vitu vya technology na katika hivyo ukawa una products kama softwares na hardwares na ukawa unazipa majina kama itanzania softwares na ukawa na bidhaa kama TV na simu ukawa unaziita itanzania Tv na simu ukawa unaziita itanzania mobile je

swali langu ni hili....??
KAMPUNI YA APPLE INC wanaweza kuku SUE kisa umetumia title yao ya i KATIKA PRODUCT ZAKO???
NAOMBA NIELEZWE KATIKA HILI
na je ni vitu gani ukivitumia Kampuni nyingine inaweza kuku sue kisa umetumia trademark zao???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom