Sheria ya Uhamiaji Tanzania inalizungumziaje suala kama hili langu?

mrjoe

New Member
Mar 31, 2020
2
0
I was born in Tanzania from both Tanzanian parents but when I was around 10years, a family member took me to study in kenya.we crossed the boarder illegally may be he bribed the officials at the boarder.

I came back last year with a Kenyan passport. After it expired I went to the village to get my Tanzanian birth certificates and applied for NIDA ID. Unfortunately, people from Uhamiaji caught me with both the expired Kenyan passport and Tanzania ID.

I have a case now at Kisutu for two charges, deceiving immigration officers and being in the country illegally. So my question to anybody in this forum who knows well the law, is to tell me what the law says in my case.
 
Mkuu, kwanini uli Apply passport ya Kenya sasa? Umekaa muda gani uko? Wazazi si wapo mzee?
 
Kosa ulilotenda ni kubwa mnoo. Yani kwa dunia ya zamani ungeambiwa umetenda kosa la uhaini.

Pia maelezo uliyotoa bado yanatia shaka na huwezi pata ushauri wa maana. Nina maswali kadhaa:

1. Kwa nini jamaa alikupeleka Kenya?

2. Kwa nini uliamua kubadili majina yako kabisa?

3. Kwa nini aliamua kukupeleka kinyemela ilihali anajua kuna siku utarudi Tanzania?

4. Kwa muktadha wa swali namba 3, ina maana wewe ulikuwa umeamua kuhama/kukimbia kabisa Tanzania na ulikuwa huna mpango wa kurudi. Sasa swali linakuja, kwa nini umerudi?

5. Ili uweze kupata NIDA ID lazima uwe na cheti cha kuzaliwa. Sasa wewe ulikipataje hicho cheti iwapo kwenye ID umetumia majina ya Kenya?

6. Umesema ulipofika Kenya ulibadili majina, kwa nini kwenye NIDA pia uliamua kutumia majina hayo ya Kenya? Kwa nini usingetumia majina yako ya Tanzania?

7. Kwa nini umeamua kurudi Tanzania? Why? Kwa sababu kwa mazingira uliyoondoka inaonekana ulikuwa umekimbia nchi hii forever, so why did you come back?

Kwa sasa ni hayo tuu, nina maswali mengi sana ila anza na hayo kwanza.
Unforgetable
 
Roho mbaya ni mzigo mzito.
kuemea KE/Tz siyo kosa, na ata kama sheria yasema ni kosa iyo ni sheria ya kishenzi inafunga mtu kama vile mbuzi anafungwa na kamba.
Nenda tembea hata ufike apo harare tuu, itasaidia wewe kupona roho mbaya.
unafanisha kusafiri na treason?
 
thaks brother for ur support, the case is now in court i will update you all the details!
 
Back
Top Bottom