sheria ya ugaidi ya mwaka 2002

Sharif

JF-Expert Member
Mar 13, 2011
2,450
1,777
Wakuu napenda niweke uhifadhi wa maneno..
Kwa mujibu wa sheria ya Ugaidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 2002, nikiwa sahihi kitakua kifungu cha 4..
UTEKAJI NYARA WA MTU
ni moja kati ya matendo ya kigaidi..
Ni wajibu wa kikatiba kuilinda amani ya nchi yetu dhidi ya magaidi hawa..
kidnappers !!
 
Back
Top Bottom