tusilalamike sana,tuangalie na suluhu ili isitokee tena.hii hamahama ya kijinga ipo tu huku shithole countries
dah ghafla tu kitu kilikuwa jukwaa la siasa ila sasa kimesukumiziwa huku.,aise Mods bhana halafu mnafanya kimya kimya kwanini hivi ?Wengi tunalalamika sana kwamba gharama za uchaguzi ni kubwa na pesa hivyo ingeweza tumika kwa kufanyia jambo jingine la kimaendeleo.
kuna mambo mawili ya kufanya ili kuepuka gharama za uchaguzi huo/hizo.
1-kwanza tuvunje tu katiba kidogo kwa kufanya mambo mawili:
A)mbunge atakae hama chama ahame na ubunge wake yani sifa ya ubunge ibaki pale pale ila ruzuku ya chama ibaki ktk chama cha mwanzo alichotoka.
B)hilo likishindikana,basi jimbo limebaki bila mbunge mpaka 2020 kwani hata akiwepo hatoleta maendeleo ya moja kwa moja.
2-chama atakacho hamia ndio kigharamie uchaguzi.
hii itasaidia ktk mambo mawili:
A)vyama vitaogopa kupokea wabunge watakao watia hasara ya pesa.
B)uhakika wa mbunge muhamaji kupata chochote (pesa) utakuwa mdogo kwani tayari pesa yote itakuwa inagharamia uchaguzi.
SULUHISHO NDO HILI.
Sasa mkuu tufanyejee. Manaa hii imekuaa dondaa suguu kiukwelSisonje polepole na serikali ya ccm atapata sifa wapi?maana nchi imewashinda wameshindwa kuwapatia watanzania maendeleo na sasa wameona ni bora kuchota pesa azina na kununua wapinzani ili wampe sifa sisonje.
Poor them
Swissme
OK mkuuTupo pamoja mkuu !
Wakuu habar ya Leo. Mimi binafsii nakerwaa SNA SNA na tabiaa ya kurudiaa UCHAGUZI wakatii huo kiongozi husikaa yupo hai hajafa.
Napendaa kushauri serikalii kufikaa mahalii kuonaa kua hii ni matumizi mabayaa ya pesa za umma. Rai yangu ni kuombaa wabunge waliomo humu au viongozii wenyekuezaa kuishaurii serikali kuwezaa kutunga sheriaa inayopigaa marufukuu mchezoo huu Wa kurudiaa UCHAGUZI kwa MTU aliejiuzulu kwa hiyari take mwenyewee. maana ni matumizi mabayaa ya pesa za walipakodii. Haiwezekanii Tanzania ya matatizo hivii chungumzimaa kujifanyaa hayaonekanii na kuanzaa kutumiaa mabilioni kwajilii ya kurudiaa UCHAGUZI ambao bajetii yake ilishapitaa.
Inaumizaa snaa na naombaa kuwasilishaa wadau. No maonii yanguu tuu jaman.
Je we we kama mtanzaniaa mzalendo inakupendezaa hiii??
WAzo zuri; lakini unafanyaje kuhusu kumpata mtu mwingine kuchukua nafasi ya yule aliyejiuzulu? au unapendekeza watu wasiwe na wawakilishi kwa vile mtu kajiuzulu.
Atafutwe aliyekuwa anamkaribia kwa kura, ndio achukue nafasi ya uwakilishi. Na huu ndio utakuwa mwarobaini, sijui kama kuna atakayekuwa tayari kujiuzulu.WAzo zuri; lakini unafanyaje kuhusu kumpata mtu mwingine kuchukua nafasi ya yule aliyejiuzulu? au unapendekeza watu wasiwe na wawakilishi kwa vile mtu kajiuzulu.
Naunga mkono hoja.Wakuu habar ya Leo. Mimi binafsii nakerwaa SNA SNA na tabiaa ya kurudiaa UCHAGUZI wakatii huo kiongozi husikaa yupo hai hajafa.
Napendaa kushauri serikalii kufikaa mahalii kuonaa kua hii ni matumizi mabayaa ya pesa za umma. Rai yangu ni kuombaa wabunge waliomo humu au viongozii wenyekuezaa kuishaurii serikali kuwezaa kutunga sheriaa inayopigaa marufukuu mchezoo huu Wa kurudiaa UCHAGUZI kwa MTU aliejiuzulu kwa hiyari take mwenyewee. maana ni matumizi mabayaa ya pesa za walipakodii. Haiwezekanii Tanzania ya matatizo hivii chungumzimaa kujifanyaa hayaonekanii na kuanzaa kutumiaa mabilioni kwajilii ya kurudiaa UCHAGUZI ambao bajetii yake ilishapitaa.
Inaumizaa snaa na naombaa kuwasilishaa wadau. No maonii yanguu tuu jaman.
Je we we kama mtanzaniaa mzalendo inakupendezaa hiii??
Hiyo imekaa vizuri.Wakuu habar ya Leo. Mimi binafsii nakerwaa SNA SNA na tabiaa ya kurudiaa UCHAGUZI wakatii huo kiongozi husikaa yupo hai hajafa.