Sheria ya Uchaguzi nayo ni Miongoni Mwa Sheria za Kipumbavu!

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,646
Hii sheria ya uchaguzi kwa kweli nayo inabidi iingie kwenye orodha ya sheria za kipumbavu.

Kwanini?

Kwa sababu huwezi kusema eti mtu kaanza kampeni mapema wakati huu ni mwaka wa uchaguzi....Haiingii akilini kabisa!

Kuanza kampeni mapema ingehesabika labda mtu alianza kampeni mwaka jana na kurudi nyuma hapo sawa lakini si hivi inavyosemekana kwa sasa.
 
Kwa nini?

Haya nenda kwamwambie EL umeisha andika thread leo akulipe hela alizopiga za richmond. Kwani watumika bila kujijua ni hasara kwa taifa, ni hasara kwa wazazi wako, ni hasara kwa familia yako etc
 
kama ni kampeni bAsi mbona rais kikwete kasema magufuli ndiye rais tumia akili
 
Hii sheria ya uchaguzi kwa kweli nayo inabidi iingie kwenye orodha ya sheria za kipumbavu.
Kwa nini?
Kwa sababu huwezi kusema eti mtu kaanza kampeni mapema wakati huu ni mwaka wa uchaguzi....Haiingii akilini kabisa!
Kuanza kampeni mapema ingehesabika labda mtu alianza kampeni mwaka jana na kurudi nyuma hapo sawa lakini si hivi inavyosemekana kwa sasa.

Kwanza kampeni haina muda kwenye masuala ya siasa - ni kitu endelevu.
 
Back
Top Bottom