Sheria ya uchaguzi katika anga la Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria ya uchaguzi katika anga la Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Apolinary, Mar 17, 2012.

 1. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Katika kipindi cha kuandaa katiba mpya nchini Tanzania kama mhimili wa dola,na vyombo vingine vya serikali pamoja na wananchi. Ni vema watanzania tukapendekeza sheria ya uchaguzi iwe kama ifuatayo 1)kila mwananchi aliyejiandikisha kwenye daftar la kudumu la wapiga kura ni lazima apige kura 2)mwananchi yeyote atakayeacha kupiga kura atakabiliwa na faini ya shilingi za kitanzani 90elf 3)atakayeacha kupiga kura wawe na sababu za msingi 4)wasimamizi wa mchakato huu watakuwa wenyeviti wa kata na vijiji nk NAWASILISHA!
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  dawa ni elimu ya uraia watu wajue wajibu wao. enforcement ya shera hii itakuwa ngumu maana asiyetaka kupiga kura hata akilazimishwa kwenda kituoni na hao wenyeviti anaweza kutumbukiza karatasi tupu na hutaweza kumjua ni nani.

   
 3. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  naona ingefaa zaidi ili kuweza kuleta mabadiliko ya nchi
   
 4. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Mkuu, kwenye katiba hiyohiyo kuna uhuru wa kuchagua au kuchaguliwa, kupiga au kutopiga kura ni hiari ya mtu. What if wagombea wote siwataki? Nakuwa neutral. Huwezi kuweka fine kwa mtu asiepiga kura kuna mambo mengi yanafanya mtu asipige kura, labda siku ya uchaguzi iwe public holiday kwa siku tatu, maana hata kwa siku mzima bado watu hukosa kupiga kura kwani muda huwa umeisha. Cha muhimu ni elimu ya uraia.
   
Loading...