Diesel generator
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 706
- 660
Wanasheria nitoe Rai yangu kwenu. Mtusaidie kuipinga sheria hii mahakani. Mtu kukamatwa kisa kanywa pombe na anaendesha. Kitu kibaya ni kuendesha ukiwa umelewa na kupelekea kutomudu chombo .
Muusishe tafiti za kisayansi na kitabibu. Hoja iwe ulevi unaanzia bombe kiasi gani? Au alcohol kiasi gani inamfanya mtu asiweze kumudu gari.
Hili suala la kunywa castle Light mbili kisha unakamatwa ulevi na matumizi ya chombo cha moto sio sawa, tunanyanyaswa wanywaji kwa kigezo cha walevi wanaopelekea kutomudu chombo.
Bia kiasi gani zinafanya ulevi. Hii abali ya kuviziwa baa tumeichoka. Tusaidieni.
Sent using Jamii Forums mobile app