SHERIA YA RUSHWA:TAKRIMA YA ELFU TANO KWA TRAFIKI KUBRUSHI VIATU

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,367
2,000
Kutokana na tamko la Rais kuwa matrafiki kuchukua elfu tano ni hela ndogo ya kubrush viatu, JE NIKICHUKUA RUSHWA HIYO nitatiwa hatiani nikitoa kielelezo cha clip ambayo raisi ameruhusu tuchuke elfu tano?
Wanasheria naomba ufafanuzi
 

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,367
2,000
hakuna rushwa ndogo akikusabya za magari kumi ni??
My point is, the President has given go ahead for traffic police to collect 5,000 Tsh as a police boot polish token, can the clip from the president be used as evidence and therefore a defense against conviction
 

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,312
2,000
My point is, the President has given go ahead for traffic police to collect 5,000 Tsh as a police boot polish token, can the clip from the president be used as evidence and therefore a defense against conviction
nimeelewa sana n way noja niende zangu insta nikaangaliye yule mwanamke aliyejiselfie analiwa tigo haha kisha pix zimetupwa insta akiwa hanemoon uh
 

Amoxlin

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,788
2,000
Kile ni kifuta jasho tu. Hapaswi kuomba ila ukimuonea huruma unampa ila na yeye alipe fadhila sasa sio apokee tu alafu....
 

KWEZISHO

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
7,525
2,000
Inaonyesha ulimi wa Rais uliteleza. Hakuna rushwa halali, na rushwa zote ni batili mbele ya jamii zenye ustaarabu. Na kwa bahati mbaya tamko la Rais linaweza kuchukuliwa kama uhalalishaji wa rushwa hivyo kuanza kuleta kadhia. Ni vyema, kungali mapema hili tamko likatolewa maelekezo ili kujiepusha na kadhia itakayoweza kujitokeza.
 

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
15,219
2,000
Ukikamatwa na kosa, mpe tu hadharani sh. 5000, na umwambie akang'arishe viatu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom