Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
NAOMBA MSAADA!
Ukitaka kufunga ndoa ya kiserikali lazima litoke Tangazo kwa mujibu Wa sheria ya Ndoa, (The law of Marriage Act of 1971). Pia ukitaka kufanya mkutano wa siasa lazima utoe taarifa polisi, kwa mujibu wa sheria ya Vyama vya Siasa na Jeshi la Polisi na Polisi Wasaidizi, (Political Parties Act, Police Force and Auxiliaries Police Act).
Je, ukitaka kutoa rambirambi unafuata sheria gani? Naombeni msaada wa kisheria staki kuvunja sheria za nchi.