Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

My experience

Mm niliamua tu kutembea na yesu nkamuachia nyumba na watoto ila nkaondoka na document zote

Mpaka Leo hii ni 2years kila MTU anaishi maisha yake na mm nineowa na Nina mtoto mmoja kwa mke mwingine na Nina tarajia kufunga ndoa nyingine bomani

Eeenh uliwezaje na mlifunga ndoa ya KIDINI? nna maswali mengi juu yako aseeh, vipi kuhusu hiyo ndoa ya BOMANI itafungwaje bila kuwa na ushahidi wowote wa kuachana na ndoa yako ya mwanzo??? is It possible?
 
Anapata stahili zake sawa kabisa na mumewe....alikaa nyumbani kutekeleza majukumu ya kulea familia akimuacha mumewe aende kazini atekeleze majukumu ya kuleta ugali na mahitaji mengine ya familia.
Hivyo anastahili 50% ya mali zote zilizopatilana wakati wakiwa pamoja.
Hoja hapa ni kama katika huo mgawanyo...deni linahusika katika thathimin. Hoja si kupewa 50 % au lah.
 
Kuna kawaida watu wakitengana wanagawana mali walizochuma pamoja.
Sasa ikiwa mali zilikopwa na bado mtu anadaiwa ,je na deni pia ligawanywe?

NB:swala limefika mahakamani.
Kama mnaweza kugawana mali basi ni pamoja na madeni yaliyopatikana kwenye ndoa hiyo.
 
Ulitakiwa uelezee deni husika wakati wa kuckilizwa kesi… ili hakimu anapogawa mali anazingatia pia na deni ulilonalo….
 
Habari
Mke wangu nimefunga nae ndoa ila tunafanya kazi mbali mbali sasa hatujagombana ile kiviile ila kaamua kuondoka nyumbani na kurudi kwao na Mimi nataka niachane nae pliz nipeni utaratibu WA kisheria kumuacha.
 
Habari Mkuu,nina shemeji yangu ambaye alifiwa na mumewe ambaye walifunga nee ndoa ya kiislam, sasa tokea afe ndugu wa mume wamekuwa wakimsumbua sana mke wa marehemu kuhusiana na mali, huku wakishindwa kutoa msaada wowote kwa watoto, nikamshauri aende mahakamani, mahakama ikaamuru kikao cha ndugu kichague msimsmizi wa mirathi, akachaguliwa kaka wa marehemu ambae ndiye msumbufu sana, baada ya hapo mahakama ikamthibitisha yule msimamizi wa mirathi na kuuliza kuwa ugawaji wa mali utafuata sheria gani, msimamizi akasema watafuata sheria za kiislam, mahakama ikakubaliana na hilo na kufunga shauri.

Sasa shida ni kuwa hiyo sheria ya kiislam itamfanya mke wa marehemu apate SUMNI (yaani kidogo tu) na wa watoto wanampango wakae nao hao ndugu wa marehemu ambao hawawezi kuwatunza kabisa, Mke wa marehemu amechanganyikiwa hajui cha kufanya, Swali langu ni je huyu mke wa marehemu afanyeje ili abaki na watoto wake na pia abaki na mali alizochuma na mumewe?
 
Habari Mkuu,nina shemeji yangu ambaye alifiwa na mumewe ambaye walifunga nee ndoa ya kiislam, sasa tokea afe ndugu wa mume wamekuwa wakimsumbua sana mke wa marehemu kuhusiana na mali,huku wakishindwa kutoa msaada wowote kwa watoto, nikamshauri aende mahakamani,mahakama ikaamuru kikao cha ndugu kichague msimsmizi wa mirathi,akachaguliwa kaka wa marehemu ambae ndie msumbufu sana, baada ya hapo mahakama ikamthibitisha yule msimamizi wa mirathi na kuuliza kuwa ugawaji wa mali utafuata sheria gani,msimamizi akasema watafuata sheria za kiislam, mahakama ikakubaliana na hilo na kufunga shauri.

Sasa shida ni kuwa hiyo sheria ya kiislam itamfanya mke wa marehemu apate SUMNI(yaani kidogo tu) na wa watoto wanampango wakae nao hao ndugu wa marehemu ambao hawawezi kuwatunza kabisa, Mke wa marehemu amechanganyikiwa hajui cha kufanya, Swali langu ni je huyu mke wa marehemu afanyeje ili abaki na watoto wake na pia abaki na mali alizochuma na mumewe?
Pia kama kuna wanasheria wanaotoa huduma za uwakili bure ili wamsaidie huyu dada,ni masikini sana,kaachiwa na mumewe nyumba moja na hana cha ziada cha kumsaidia,na wapo vijijini
 
Naomba majibu tafadhali
 
Pia kama kuna wanasheria wanaotoa huduma za uwakili bure ili wamsaidie huyu dada,ni masikini sana,kaachiwa na mumewe nyumba moja na hana cha ziada cha kumsaidia,na wapo vijijini
Msaada tafadhali
 
1. Kwanzaa Kabisa kosa lilifanyika kwenye kuchagua msimamizi yule mama alitakiwa kuieleza mahakama kuwa hajaridhika na mtu alie chaguliwa, lakin si tatizo.

2. Maadam ndoa ilifungwa kiislam inatoa tafsr kua marehem alikua na misingi ya din hyo hivo ni sawa kugaiwa kwa din ya kiislam si tatizo.

3. Kama mama yupo na hana matatizo yeyote yanayomzuia kukaa na watoto wake watoto hawaez kukaa kwa ndugu hata siku moja labda kama kuna usia unasema hivo,mama aende mahakama walifatilia mirath bila shaka ni ya mwanzo akaeleze hilo mahakma itamsaidia ktk hilo.

Pia kama ugawaji unaenda kinyume arud pale mahakamn haraka sana akaeleze kwan msimamizi anaweza kutwnguliwa muda wowote na mahakama iliwa kuna sababu za msingi.

Swala hili ni dogo sana haliihatj hata mwanasheria ni yeye arud pale aieleze mahakama ukwel bila kumung'unya maneneo itadeal nao
 
Petro E. Mselewa,

[/QUOTE]
kisheria
Petro E. Mselewa,
Mkuu naomba kufaham sheria inasemaje juu ya hata

Je kuna sheria inayomhukumu mwanaume aliyetembea na mke wa MTU?

Je kama umebaini kwamba kuna MTU anatembea na mke wako ni utaratibu gani unaotakiwa kuufuata kisheria na uthibitisho gani unaotakiwa kisheria ili hukumu iweze kutolewa kwa mkosaji

Kama IPO na ikabainika kuwa mwanaume ametembea na mke wa mtu ni hukumu gani ambayo inaeza kupatiwa kisheria?
 
Back
Top Bottom