Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

Naomba kuuliza.
Nimeishi na mwanamke toka 2000 na tukafunga ndoa mwaka 2007 tumezaa na tuna watoto wawili.
Ila kutokana na tabia zake tulitengana 2015 ili kupeana muda wa kutafakari kwa sababu tulikuwa tumefikia hatua mbaya ila kumbe kulikuwa na mtu aliyekuwa ameingilia ndoa yangu ndo maana tukafikia hali ile.
Tulipotengana kwa muda wakaenda kufunga ndoa ya kwa mkuu wa wilaya na ukumbuke ya kwangu ilikuwa ya kanisani.
Naomba ushauri.
1.Ndoa aliyonayo ni halali?
2.Kisheria nawezaje kupata talaka?
3.je kama kugawana mali tunagawana ipi?ile tuliyokuwa nayo 2015 au tutakayokuwa nayo muda mahakama itakapotoa talaka?
4.Huyo jamaa aliyeingilia ndoa yangu anaweza kuchukuliwa sheria gani?
5.Au naweza kuacha hivyohivyo na mimi nikaenda kufunga ndoa nyingine?
Asante
Ngoja watalaamu waje tupate elimu
 
Je ni haki/sheria kwa mwanandoa(mke) kupata urithi hata kwa vile ambavyo hawakuchuma wooote??
 
Utaratibu wa mirathi kwa wanandoa waliofunga ndoa ya bomani.... Kwa mali walizozichuma na wasizozichuma woote.. Na wana familia ya watoto watatu... Umekaaje?
 
Mkuu, nasikitika kujua na kukwambia kuwa unachanganya masuala ya ndoa na yale ya mirathi. Hii ni mada kuhusu ndoa na si mirathi
 
Ni mirathi kwa wanandoa pia.... Sa sijui unaposema mambo ya ndoa unataka tuulize jinsi ya kumuhandle mwanamke au?

Mi naona yoote ni mambo ya ndoa...
Kufunga ndoa.

Kuachana kwa wanandoa
Kuishi ndani ya ndoa.
Mirathi kwa wanandoa.

Km una ujuzi na umeamua kujibu maswali... Ni vyema ukawa unajibu tu hata kwa ufupi...

Sio kila mtu ana iyo taaluma ya kuchambua maswali...

Sidhan km ukijibu unaweza ukaonekana mjinga au ukapigwa ban eti kisa umejibu mambo ya mirathi...

Complication ndogo ndogo zinapoteza weledi.....

Wats matter ni sheria tu....
 
Mkuu, hatugombani. Nimekueleza ukweli. Kuna mada zinzohusu mirathi humu. Tafadhali zitafute
 
Ikitokea mimi mwanaume nimeoa mwanamke mwenye mali huku mimi sina kitu ila tukaendelea kufight pamoja na tukaishi na kuzaa watoto wawili. Ikitokea tukapeana talaka mali tutagawana??
 
Mkuu kwa uelewa wako mwanaume mwenye diploma,kumuoa mwanamke aliyehitimu law school. na huyu mwanamke kwao wanauwezo mkubwa kiuchumi...je ndoa yao inaweza kuwa na afya kweli.japo wenyewe wanadai wanapendana na mwanamke yupo tayari kumsaport mwanaume kutafuta mali.
Ndoa itadumu kabisa mradi tu mume awe anajua kupika na kudeka
 
Habari za mchana.

Naomba kuuliza , Kama mchango wa maendeleo katika familia husika ni mke na ushahidi upo, imekaaje hii katika kupatikana kwa talaka na mgawanyo wa mali?
 
Talaka itapatikana baada ya kufuata taratibu husika.Unaenda baraza la usuruhishi na upatanisho,ikishindikana watakupa barua uende mahakamani mahakama ikijiridhisha kwamba ndoa imeshindikana beyond repair itatoa tamko la talaka na kuhusu watoto na mgawanyo wa mali.Mali itagawanywa kulingana na joint effort ya wandoa.Kesi ya Bi Hawa Mohammed na Ally Seffu na Bi Maurid zilishaweka presedent.
 
Nashukuru kwa majibu mazuri.

Wakati nauliza kuhusu mali, ni kuwa. Mali anazomiliki mama huyu zina majina binafsi kwa kuwa ametafuta mwenyewe hazijaandikwa Mr & Mrs. Hii imekaaje?
 
Je mke wangu kunitukana Mimi na wazazi wangu hadharani mbele ya watoto wangu nikimpeleka mahakamani Ni kosa? Pia je baada ya kuitana kwenye Baraza la usuluhisji la kata na ameshindwa kukomba radhi ya matusi aliyotoa.je naweza peleka shauri mahakamani la kumpa talaka na ikiwezekana? Manake nimeshindwa kuvumilia koz ananitukana kila kukicha na anadai mi sio mwanaume ye anao wanaomvesha na kumlisha(audio ipo ya ushahid wa matusi na dharau), NAOMBA MSAADA WAJUZI WA SHERIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Talaka itapatikana baada ya kufuata taratibu husika.Unaenda baraza la usuruhishi na upatanisho,ikishindikana watakupa barua uende mahakamani mahakama ikijiridhisha kwamba ndoa imeshindikana beyond repair itatoa tamko la talaka na kuhusu watoto na mgawanyo wa mali.Mali itagawanywa kulingana na joint effort ya wandoa.Kesi ya Bi Hawa Mohammed na Ally Seffu na Bi Maurid zilishaweka presedent.
Asante sana barikiwa.
 
Je mke wangu kunitukana Mimi na wazazi wangu hadharani mbele ya watoto wangu nikimpeleka mahakamani Ni kosa? Pia je baada ya kuitana kwenye Baraza la usuluhisji la kata na ameshindwa kukomba radhi ya matusi aliyotoa.je naweza peleka shauri mahakamani la kumpa talaka na ikiwezekana? Manake nimeshindwa kuvumilia koz ananitukana kila kukicha na anadai mi sio mwanaume ye anao wanaomvesha na kumlisha(audio ipo ya ushahid wa matusi na dharau), NAOMBA MSAADA WAJUZI WA SHERIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kama langu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom