Sheria ya Ndoa: Uliza Ujibiwe


ypointer4

ypointer4

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2010
Messages
619
Points
1,000
ypointer4

ypointer4

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2010
619 1,000
Naomba kuuliza.
Mimi ni Mtanzania lakini nilibahatika kupata marafiki na sasa nchini mwao kuna machafuko ya kivita. Wameniuliza kama inawezekana kwao kuja kufunga NDOA hapa Tanzania, hivyo ningependa kujua kama sheria zinaruhusu na utaratibu upi ufuatwe ili waweze kuja.
Ahsante.
 
R

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
17,487
Points
2,000
Age
22
R

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
17,487 2,000
Wana-JF,


Karibuni hapa kwa maswali mbalimbali yahusuyo Sheria ya Ndoa,1971.Wale wote waliopo kwenye ndoa na wanaotarajia kuwa kwenye ndoa wanakaribishwa hapa kuuliza na kujibiwa. Nitashirikiana na Mawakili Wasomi wenzangu waliopo humu kuwajibu maswali yenu.

Asanteni na karibuni!
Nisadie ksi hii tafadhali nakuomba. nitupie inbox, najua unayo maana lazima uwe na TLR kama hii
SARJIT SINGH v SEBASTIAN CHRISTOM 1988 TLR 24 (HC) Court High Court of Tanzania - Dar Es Salaam
Judge Kyando J
 
kapalamsenga

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
6,519
Points
2,000
kapalamsenga

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
6,519 2,000
SWALI LIPO MWISHONI BAADA YA STORI HII :

-Mwanaume alishahama ndani ya nyumba na kwenda kupanga nje ni zaid ya miez 6 sasa

-Mwanamke amebaki ndani ya nyumba hajahama

-Mwanaume anadai kamfumania mkewe (ugoni wa kutunga) eneo la biashara analofanyia mkewe biashara zake mchana kweupe barabarani kulikua na wateja zaidi ya sita na wengineo ivo wapo katika kesi ya talaka na mgao wa mali kwasasa


-Mwanaume anamtumia mkewe watu kumtishia kumtoa mwanamke ndani ya nyumba kua hakuweka tofali hata moja ivo siku talaka ikitoka atamtoa na defender ndani ili aje akae yeye kiuhuru

-Mwanamke alipoolewa alikuta nyumba ambayo haijaisha yan ilikua na chumba kimoja tu ivo wakaimalizia wote vyumba vingine wakaishi miaka 11 na kuzalia watto wao wote pale

-Wakajenga nyumba nyingine na kuhamia kwenye nyumba yao ya pili napo wakaishi miaka 20 ndipo ugomvi ulipoibuka

-wameishi ndani ya ndoa miaka 31 na watto wao wote ni above 18

-mwanaume kafoji mkataba ukielezea kua alishamkabidhi mwanamke mgao wa mali miaka mingi kisa ana watto wa nje wasije kumsumbua ivo kamtoa katika mgao wa mali na hana cha kumdai huyo mwanamke... Mkataba ni handwritten mwanzo mwisho ukiwa na mwandiko wa mwanaume tu akithibitisha kutoa pesa mil. 60 na kumpatia mkewe.. Lakini hakuna sehemu ambayo mwanamke kathibitisha kupokea izo pesa lakn kuna sahihi na kidole gumba tu anachodai ni cha mkewe na mkataba huo umethibitishwa na wakili mhuri upo (miaka minne imepita tangia wafanye huo mkataba) ndo yakaja kuibuka haya... It means mwanaume anataka kufanya dhuluma kwa mwanamke ya mali kupitia njia hyoQUESTION
1. KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE NI NANI ANAESTAHILI KUTOLEWA NDANI YA NYUMBA BAADA YA TALAKA KUTOLEWA ?? NA KWA KUTUMIA KIFUNGU KIPI CHA SHERIA?

2. MGAO WA MALI KWA WANANDOA UNAWEZA KUFANYIKA KABLA YA NDOA KUVUNJIKA ILI PASIWEPO NA MGAO BAADA YA NDOA KUVUNJIKA MIAKA YA MBELENI INCASE KWA MWANANDOA MMOJA ASIDAI KITU CHOCHOTE MBELENI ??

3.WAKILI ANA MAMLAKA YA KUFANYA MGAO WA MALI KWA WANANDOA?? sheria na kifungu kipi kama kipo...
Hiyo nyumba wawape watoto wairithi mme na mke waondoke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TsafuRD

TsafuRD

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Messages
1,650
Points
2,000
TsafuRD

TsafuRD

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2013
1,650 2,000
Asante sana kwa darasa nzuri sana. Nimejifunza mengi sana kwenye darasa hili.
 
J

juliusemassesa

Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
10
Points
45
Age
30
J

juliusemassesa

Member
Joined Aug 26, 2016
10 45
Je kama mm mwanaume ni mfanyakazi halafu nikawa naishi na mwanamke bila kufunga ndoa kwa miaka miwili .Halafu nikachukua mkopo benki nikanunua kiwanja .je siku tukiachana hicho kiwanja tutakigawana ? Wakati mimi bado deni benki wanalikata kwenye mshahara.hapo inakuweje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
linguistics

linguistics

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
3,949
Points
2,000
linguistics

linguistics

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
3,949 2,000
Lakini,kama ni mali ya pamoja watoto wa nje ya ndoa (kwa ndoa za bomani na za kikristo) hurithi kutokana na matakwa ya wanandoa tu na si vinginevyo.
Mheshimiwa ina maana mke wa ndoa ana HAKI ya kukataa watoto wa nje ya ndoa wa mme wake wasirithi mali?
 
linguistics

linguistics

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
3,949
Points
2,000
linguistics

linguistics

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
3,949 2,000
Kama ni mali zako binafsi,haziwezi kuwa machumo ya ndoa. Hivyobasi,hazitagawanywa. Lakini,hakikisha zinakuwa kweli mali zako binafsi kwa kutunza nyaraka za uthibitisho wa hilo.
Mkuu naomba Ufafanuzi hapa, labda ni kwa kutojua sheria hasa kwa mke anaposhirikiana na mme wake katika matumizi nyumbani kiasi kwamba kipato chake chote kinatumika kwa mfano chakula, matibabu, mavazi nk halafu mume yeye ananunua viwanja na kujenga ama anaanzisha kampuni au kitega uchumi chochote kisha hivyo vyote anaandikisha kwa jina lake. Je hapa mke anakuwa na haki ya umiliki? Wakiachana mke watagawana mali au mke ataondoka mikono mitupu? Urithi je, ana haki ya urithi!/ umiliki wa mali hizi?
Asante.
 
linguistics

linguistics

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
3,949
Points
2,000
linguistics

linguistics

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
3,949 2,000
Muheshimiwa Petro E. Mselewa kama mme wa ndoa amezaa nje ya ndoa halafu mme anataka kumchukua huyo mtoto kuishi naye, je mke wa ndoa ana haki ya kukataa kumpokea/ kulea mtoto huyo?
 
BabaDesi

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Messages
3,098
Points
1,500
BabaDesi

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2007
3,098 1,500
Presumption of marriage sec 160 of law of marriage act sheria imesema ni miaka 2 inakuwa ndoa na jamii inayo wazunguka itambue kuwa mnaishi km mke& Mme na hio ndoa haina taraka Ila INA mgao WA Mali na maintenance of children and custody km ikivunjika (broken down irreparably) obiter dictum#
...kwa hiyo hapa Mkuu Kasabuku ina maana kuwa mnaweza kuishi hata miaka 15 pamoja kwa hiyo mantiki ya kwamba baada ya miaka mi2 tu mmefahamika kama wanandoa...lakini baada ya hiyo miaka 15 mmoja wa wanandoa hao akaamua tu ku move on, habanwi na chochote wala yule aliyebaki hana Say yoyote katika hili??

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,295,907
Members 498,472
Posts 31,227,666
Top