Sheria ya Manunuzi INA

mwana wa mtemi

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
374
204
Mabadiliko ya sheria ya Manunuzi yafanywe emergency.


Katika kile ambacho kiko wazi watendaji baadhi bado wanaitumia vibaya hasa katika zabuni.

Nionavyo ni heri iangaliwe upya mapema ili fedha zinazoelekezwa Halmashauri toka serkali kuu zikatumika ipasavyo.

Fikiria Ujenzi wa kitu kidogo ambacho kikisimamiwa tofauti na mzabuni kinavyokuwa bora kuliko fedha nyingi ubora kidogo.

Rais ana mipango mizuri lakini wataalamu wa legal draft na amendment of regulation saidieni kwa uzalendo kabisa kunusuru wizi wa wazi
 
Back
Top Bottom