TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 24,736
- 24,790
Wadau Nauliza kama hiyo sheria kama bado inatumika ama imefutwa. Kama bado haijafutwa basi kule Morogoro mtaa wa Mafiga kuna jamaa kaivunja kuanzia saa mbili usiku wa jana mpaka muda huu. Muhimiza utii wa sheria huko Morogoro tafadhali Lifanyie kazi hili. Eneo hili lina hospitali/Zahanati na watoto wadogo yaani kuna usumbufu kubwa hata kwa watu wazima. Mpaka naandika haya huyo jamaa bado anaivunja sheria kama bado haijafutwa!