Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 9,465
- 19,256
mwanafunzi wa kiume kama amezidi miaka 18 akimpa mimba msichana anashitakiwa na anaweza kufungwa miaka 30. ondoa uongo kwamba mwanafunzi hashitakiwi au hafungu, mwanafunzi asiyefungwa gerezani ni wa chini ya 18 years.Mwanafunzi wa kiume haendi jela kwa kumpa mimba mwanafunzi mwenzie, hii ni tangu zamani