Sheria ya kuotea (Off Side) iondolewe

Zeni2017

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
1,247
532
Hii sheria inasababisha dhuluma na magoli mengi ya utata. Ni bora iondolewe kabisa. Mpira ni kumi na moja kwa kumi na moja wote ndani ya uwanja.

Hii sheria ndio inayosababisha mabeki kuleta ushambenga wa kwenda mbele kutafuta magoli huku nyuma hakuna kitu. Na ndio inayosababisha baadhi ya timu kucheza na high line kwenye defense.

Iondolewe bana mpira ni ntu na ntu.
 
siku mkiwa mmefungwa goli la kuotea alafu refa aseme sio goli ndio utajua raha ya hiyo sheria. usiangalie upande mmoja
 
Back
Top Bottom