Keyboard Warrior
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 985
- 2,885
Nadhani wote tunaona vituko vinavoendelea bungeni.
Wabunge wengi kazi yao imekuwa ya kugonga meza tu, kupiga mayowe ya "ndiyooo" na kuleta hoja zisizo kuwa na manufaa kwa wananchi.
Kwahiyo kadri siku zinavozidi kwenda nadhani wananchi wengi wanaanza kujutia na kuwa disappointed na wabunge kadhaa waliowachagua.
Basi kwavile wananchi ndio waliowachagua na ndio wenye power yakuwaondoa kikatiba, na suggest iundwe sheria ambayo wananchi wanaweza kuwasilisha petition ya kutokuwa na imani na mbunge wao.
Hii inamaana kwamba ikiwa atleast 50% ya wananchi wa jimbo la mbunge mshtakiwa watakuwa hawana imani na mbunge wao,kwamba hawatetei maslahi yao,anajali tumbo lake tuu,hana hoja zakueleweka bungeni etc, wanaweza wakawasilisha hoja yao mahakamani and huyo mbunge atahojiwa na wananchi wake pamoja na an apointed judge na kama atabainika kweli mbunge huyo hana their best interest at heart basi atafutwa ubunge.
Hii itafanya wabunge wawe accountable na kurudisha nguvu kwa wananchi.