Hujui historian wewe alafu so ajabu umepata vihela ukubwani unajiona mjanja sana. Waafrika tulikuwa aka tumekuwa na Ngoma za asili zilizokuwa na sauti hats kuweza kuvuta watu kutoka mbali ili kushiriki. Soma kitabu cha Song of Lawino and Ocol tofauti kati ya African dance na European dance ikiwa umepita Shule kidogo. Wewe unasemea kelele za vuvuzera ila kumbuka kisheria jambo lolote lisilomuhusu mwingine na kumsababishia usumbufu wowote kwa kuvuka kwa mipaka yako ni nuisance iwe vuvuzera au la. Soma sheria. Ujinga wenu mmelenga watu Fulani kisha mnakimbia uhalisia. Unakunya ila harufu ya kijampo inakukera huu ni upumbavu na wazimu Mkubwa.acha ujinga! mtu akupigie vuvuzela masikioni halafu useme kuvumiliana, MTU afunge spika usiku kucha halafu useme uafrika kuvumiliana; kwanza waafrika tul8shi msituni hakukuwa na sabufa wala disco
Mkuu nakaa jirani na msikiti ni kero balaa. Wanaanza saa kumi alfajir wanatumia km dk 5 wanakuja kuliamsha tena 11 kasoro hapo ndo balaa lake Hadi saa 12. Ni mikelele alaf kibaya zaidi haieleweki wanaongea nn.kwa kuanzia sheria na kanuni hizi zimetaja kutogusa ibada fupi kama zile za azana ambazo ni za dakika 1 hadi 5
Hiyo ipo mbona, long time sanaaaPia wangekuja na sheria ya kuzuia watu kuvuta sigara hadharani kwenye public
Kuna mtu alikuja kukupigia masikioni mwako? Hiyo usiku kucha ni special occasion ambayo hata kwako inaweza kutokea kwani inapigwa kila siku?acha ujinga! mtu akupigie vuvuzela masikioni halafu useme kuvumiliana, MTU afunge spika usiku kucha halafu useme uafrika kuvumiliana; kwanza waafrika tul8shi msituni hakukuwa na sabufa wala disco
Tehe tehe!As
Asante Mjumbe. Unajua kuna life style tunaiga za kishenzy sana. Tumeshindwa kuvumiliana sasa tunataka kujawa na wazimu wa kizungu. Afrika haiko hivi tunaishi kwa kuvumiliana sana na ndio utamaduni wetu sasa tukitaka kujawa na wazimu utakuwa wazimu kweli. Naona kanuni uchwala zinaanza kuwapendelea waislamu ati wako ni dakika 4 mpaka 5. Ni nani yuko ana interest na wanachokifanya?. Kama sio kuvumiliana tu.
Nani kuinama na kuinuka siwezi pia kukojoa huku umechutama hiyo kazi siwezi Mjumbe.Tehe tehe!
Haupo interested kuitwa na kuabudu?
Basi haijawekewa msisitizo sana,maana unakuta mtu anavuta sigara mbele ya watu anawapulizia moshi na anaangaliwa tuHiyo ipo mbona, long time sanaaa
Hata simu za KichinaKumbuka sio makanisa tu hata harusi, komuniyo,kipaimara,ibada za Iddi,birthdays hawa hutumia subwoofer au kingine chochote kile kinachotoa sauti inayovuka uzio wa Nyumba yako na kuwafikiwa wengine. Sheria hukata kote. Wazungu ndio wamechemka amjasikia wale walioenda mahakamani kwa kuwika kwa jogoo. Kama tumeshindwa kuvumiliana ulimwengu utajaa wazimu. Tulivyo wajinga tunaona makanisa tu hatujui hata ma subwoofer ya kichina nayo yanasababisha noise pollution.
Kulia na kucheka yote makeleleVip kuhusu azana za waislamu?
Haponi mtu hapa.Hata simu za Kichina
Kwani hao ndo Wana waaambieni mpiye mitaani na isoika mikubwa mikubwa kutupigia kelele na mwisho kulazimisha mchango wa betriHao hao viongozi wa serikali nfio wanaojileta tuwaombee usiku kucha kwa makelele kedekede
Kuna husiana nini na sheria ya nemc?mbona ukinya unachutama au unakunya wima mkuu?Nani kuinama na kuinuka siwezi pia kukojoa huku umechutama hiyo kazi siwezi Mjumbe.
Kumbuka hapo unakata gogo sio kukojoa. Tofautisha ndugu Mjumbe.Kuna husiana nini na sheria ya nemc?mbona ukinya unachutama au unakunya wima mkuu?
Kwani unapomkojolea mkeo unakua kwenye style gani mkuu?Kum
Kumbuka hapo unakata gogo sio kukojoa. Tofautisha ndugu Mjumbe.