Sheria ya katiba kurudishwa bungeni kwa ajili ya marekebisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria ya katiba kurudishwa bungeni kwa ajili ya marekebisho

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by VAMPA, Jan 23, 2012.

 1. V

  VAMPA Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gumzo la leo limejadili kuwa swala la kurudishwa bungeni kwa sheria ya kujadili katiba mpya, ifanyiwe marekebisho. je kulikuwa na umuhimu gani wa raisi kuwa na haraka ya kusign mswada wa sheria kabla ya kusikiliza maoni ya wananchi na vyama vingine?
  kama ingekuwa kusign hati ya vita au mkataba muhim wa nchi, hapo si nchi ingeingia matatizoni?
  NAWASILISHA.

  SOURCE, MORNING MAGIC GUMZO.
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  I see!
   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,112
  Trophy Points: 280
  Kwani magic fm wakiongea ndo kweli inakuw?
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kama hii sheria itarudishwa Bungeni kwa ajili ya marekebisho basi itakuwa vyema kama Waziri wa Katiba na Mwanasheria Mkuu wa serikali wajiuzulu.
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Unajua jk akili yake inafikiria taratibu sanaaa..hayo ndo madhara ya kufanya mambo kwa ushabiki wa kichama..wakina Lissu walisema haya yote now yanatimia...sasa subiri kivumbi chake huko bungeni sasa na waziri mwenyewe kombani haelewi lolote basi ndo itakuwa balaaa...
   
 6. Sanja

  Sanja JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  Mh chanzo chao cha habari hawa watangazaji tafadhali.
   
 7. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Naisubiri hiyo aibu kwa wale wote, waliokuwa wanaunga mkono hoja mjengoni.
   
 8. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  bado hujaeleweka ktk haya;
  1. nani walio kuwa wakijadiri?
  2. sababu za kurudishwa walizo toa ni zipi?
  3. wamepata wapi hii taarifa wao ?
  4. nini hitimisho la mazumuzo
  mkuu usije ona yalikuwa mapendezo tu halafu una cunclude kuwa itakuwa naomba thibitisha kwanza
   
 9. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sisi tunashukuru kwa kusikia kilio cha watanzania wengi hii lazima ingeleta madhara tu mbele ni vizuri vile wamekuwa wasikivu ubabe na maguvu yasiyokuwa na maana tena kwa sisi wananchi hauna nafasi wakuu.
   
 10. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  MAGIC FM?????SIO CLOUDS WENGINE HAWA KWELI???

  siamini taarifa hiii
   
 11. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  I love chadema.
   
 12. M

  Makupa JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  So what"""
   
 13. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama kweli basi JK ni rais wa kichina, na inabidi waziri wa katiba na mwanasheria mkuu wajiuzuru
   
 14. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Yote kheir cha msingi na kupata mchakato bora na sahihi utakaopelekea kupata katiba bora.
   
 15. k

  kastarehe JF-Expert Member

  #15
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli uko serious na maswali yako!? Hujui mjadala wa hili suala muhimu ulifanyikaje?! Hujui sababu za kuurudisha?! umeusoma!? upo TZ kweli au USA!
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  itakua ushindi mkubwa sn kwa chadema
   
 17. mooduke

  mooduke JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Time will tell wao si walifikiri sisi MAZUZU tutaona mwisho wao
   
 18. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #18
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,785
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Kama ni ukweli ni ushindi kwa Watanzania. Kama kuna watu hatari ambao walitaka kuiingiza Tanzania ktk machafuko makubwa ya kisiasa ni Waziri Mkuu na Spika wa Bunge. Walishindwa kusimamia walio chini yao ktk jambo nyeti kiasi hiki.
   
 19. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #19
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Source yako haina credibilty na pia wewe habari umeiandika kichina. Ifuatilie na uitoe upya.
   
 20. V

  VAMPA Member

  #20
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MKUU pia soma mwananchi la leo linasema NCCR MAGEUZI wameripoti kuwa JK. kakubali kuwa sheria ya katiba ikafanyiwe marekebisho bungeni.
   
Loading...