Nokla JF-Expert Member Aug 12, 2012 3,167 1,706 Nov 26, 2014 #1 Wakuu FIFA wanataka kuleta hii sheria ya kapu la dhambi katika mpira wa miguu, mimi naona iko poa zaidi kuliko red kadi, Nini maoni yako?
Wakuu FIFA wanataka kuleta hii sheria ya kapu la dhambi katika mpira wa miguu, mimi naona iko poa zaidi kuliko red kadi, Nini maoni yako?
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,140 13,215 Nov 26, 2014 #2 dadavua mkuu kwa ambao hatujaguswa
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,823 93,519 Nov 26, 2014 #3 Ufafanuzi tafadhali na tupe chanzo cha habari yako...