mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 613
- 311
Habari waungwana.
Naomba msaada wenu wadau
Mimi ni muajiriwa wa Serekali niliajiriwa kwa cheti cha Form Four tuuu nikiwa kma muhudumu nami nikaamua kujiendeleza kimya kimya Bila muajiri wangu kujua wala sikuathiri shuhuli za utendaji katika nafasi yangu nilikua nikisoma week end tuuu.
Sasa nimempelekea muajiri wangu cheti cha Diploma in Accountancy ili anifanyie mabadiliko ya mshahara tuu sina ulazima wa kubafilishwa kada.
Ila muajiri wangu kanijibu kua ingekua vyema ningejiendeleza katika fani nilioajiriwa nayo na ataniengeza mshahara mwezi wa 7 katika bajeti ya 2018/2019 ila hadi sasa hajaniongeza nilipomuandikia tena barua kaniambia kua ili niengezwe mshahara ni lazima nibadilishe kada.
Siwezi kulipwa kulingana na elimu ya diploma wakato ni muhudumu.
NB. Taasisi yangu inajishuhulisha na mambo ya kifedha nimesoma kada hio kwa sababu ya kujua kua watu wa fani hio hawatoshi katika ofisi zetu