Sheria ya Hifadhi ya Jamii ilipitishwa kwa mfumo huu kweli! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria ya Hifadhi ya Jamii ilipitishwa kwa mfumo huu kweli!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mosachaoghoko, Jul 31, 2012.

 1. Mosachaoghoko

  Mosachaoghoko Senior Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  wakizinduka hapo ni ama wagonge meza au waunge mkono hoja wasiyoijua

  sio lazima kuhudhuria vikao kama hauwezi kuwakilisha waliokutuma. inawezekana sheria ya kinyonyaji ya kuhusu mafao ya wafanyakazi ilipita kwa style hii...!!

  kwenye mechi iliyotangazwa jana napendekeza pia mashindano ya nani bingwawaa kuuchapa usingizi pia utaratibu huu pia uanzishwe
   
 2. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hivyo ndivyo.
   
Loading...