Sheria ya 1/3 ya mshahara wa mtumishi imekiukwa

Huu utawala kuvunja sheria ni jambo la kawaida kabisa. Ndio maana hawataki Tundu lissu awe rais TLS
kwa hiyo tundu lissu akiwa raisi tls itasaidia nini...kama kashindwa kumtetea kipenzi chetu lema....anaenda kuwatetea watu wa ngada.....
 
tunaumia unajua wewe unaleta utani! Nani kakuambia mkopo hauna riba. Unayo tena kubwa tu! Wao wanaita retention fee! Huu ninuonevu na uhuni mkubwa sana!
ni asilimia ngapi mkuu ya mkopo wote uliopewa? ikijumuisha na zile za malazi, chakula na field?
 
Acha bla bla kama ulikopa lipa ili wadogo zako wakope pia acha ubinafsi. Au unapiga domo wala si mtumishi ila ni mshinda mtandaoni....!!
nani kakwambia alikua halipi au hataki kulipa? jitu linafikiri kwa kutumia makalio
tatizo ni kukiukwa kwa mkatataba baina yetu na bodi ya mikopo. mikataba tuliyosaini inasema tutakatwa 8% ya mshahara na sio 15% walioianzisha.
fikiri kwa kutumia kichwa, unakua kilaza kama jesca!
 
Ungekuwa hujakopa mpaka kupitiliza hilo lisingekuwa tatizo, wakati unatumbua hizo hela chuoni ulifikiri ni sadaka? tena 15% ni hela kidogo sana na serikali ilivyotusaidia haina riba hata kidogo bila kujali muda uliochukua na thamani ya shilingi kwa muda huo na kwa sasa. Lipa hizo fedha wadogo zako wasome kengewe!!!!! acha kulalamika mbona mikopo unakopa na unakatwa asilimia mpaka 75 hulalamiki ? mimi ya kwangu nililipa taslimu ili wanaokuja nyuma yangu nao wapate

Una uhakika hamna riba?
 
Nahisi umejichanganya au labda kama nimesahau manake hayo mambo nime-deal nayo kitambo!!!

For what I know ni kwamba, sheria za BoT zinataka madeni yoooooooooooooote deducted from salary, yasizidi 1/3 ya mshahara na kwa maana hiyo, mtumishi at any time t, baada ya makato yooooote, anatakiwa kubaki na at least 2/3.

Kama kuna mfanyakazi alikuwa anapata a maximum of 2/3; kutokana na ongezeko to 15%, hapo serikali watakuwa wanavunja sheria yao wenyewe kwa sababu previous lenders hawana control katika hilo!!

Kwa wale ambao hawana mkopo, hakuna hilo tatizo lakini watakuwa wamepunguziwa uwezo wa kukopa kwa 8%.

NOTE: Sio kwa mtumishi wa umma bali mfanyakazi yeyote yule!
Hujui
 
Ungekuwa hujakopa mpaka kupitiliza hilo lisingekuwa tatizo, wakati unatumbua hizo hela chuoni ulifikiri ni sadaka? tena 15% ni hela kidogo sana na serikali ilivyotusaidia haina riba hata kidogo bila kujali muda uliochukua na thamani ya shilingi kwa muda huo na kwa sasa. Lipa hizo fedha wadogo zako wasome kengewe!!!!! acha kulalamika mbona mikopo unakopa na unakatwa asilimia mpaka 75 hulalamiki ? mimi ya kwangu nililipa taslimu ili wanaokuja nyuma yangu nao wapate
1. kwanza mkopo wa elimu ya juu una riba. fungua akili ki.la.za wewe
2. nani kakwambia kua hiyo 15% ni ndogo? hivi unadhani makato katika mshahara ni hiyo hiyo 15%? kwa taarifa yako watu wana makato menine mengi yanayokaribia jumla ya 40%.
3. acha kuongea uongo ili kufanikisha uovu unaoutetea. taasisi gani ya kifedha inakopesha na kukata 75%? hata hivyo kama mtu anakopeshwa ktk taasisi fulani ya kifedha, basi anakua kakubaliana na taaasisi hiyo juu ya asilimia ya makato, na sio taasisi hiyo kuamua huu mwezi tumakate asilimia ngapi wakati mwezi mwengine tuongeze kidogo.
4. watu wanakopa kwa makubaliano. makubaliano ya bodi ya mikopo na wanuafaika wa mikopo ni makato ya 8% na sio 15%. walioweka 8% walikua wana huruma na wanyonge kwani walijua bado kuna makato mengine. huyu aliyekuja kukiuka makubaliano na akaanza kukata 15%, ni mwenye roho mbaya sana, anajiangalia yeye tu. kisa yeye hakatwi ktk mishshara yake, basi anaanzisha makato mapya bila kujali kama watu wana makato mengine mengine.
 
swa
Lipeni fedha za watu vijana wapate fedha za ada kama nyie mlivyopata, mbona mko wachoyo hivyo? mliambiwa ni mkopo maana yake kuna siku mtaulipa tu, si ni nyie mliokuwa maandamana kuwa manacheleweshewa boom, sasa kulipa inataka kuwa issue? lipeni vinginevyo tutauza makochi na viti.
mimi wamenikata wakati sikukopa na ni miezi mitatu sasa toka nimepewa barua na loan boad kusitisha kwa kuwa sukukopa, nahisi kama kuna adhabu ya bila chuki
la
 
Ok huko ni kwenu ila ofisini kwetu strictly balance after deduction is 1/3,kwaheri
Hiyo sio Tanzania, kwa uelewa wangu mdogo sana wa sheria hiyo ni kwamba huwa kuna category mbili, ya kwanza ni wafanyakazi wa kima cha chini makato au wao wanaitq debit burden ratio isizido 30% ya mshahara na category ya pili ni wenye mishahara mikubwa wao DBR ni 40%. Anayejua zaidi ya hapo anisaidie.
 
1. kwanza mkopo wa elimu ya juu una riba. fungua akili ki.la.za wewe
2. nani kakwambia kua hiyo 15% ni ndogo? hivi unadhani makato katika mshahara ni hiyo hiyo 15%? kwa taarifa yako watu wana makato menine mengi yanayokaribia jumla ya 40%.
3. acha kuongea uongo ili kufanikisha uovu unaoutetea. taasisi gani ya kifedha inakopesha na kukata 75%? hata hivyo kama mtu anakopeshwa ktk taasisi fulani ya kifedha, basi anakua kakubaliana na taaasisi hiyo juu ya asilimia ya makato, na sio taasisi hiyo kuamua huu mwezi tumakate asilimia ngapi wakati mwezi mwengine tuongeze kidogo.
4. watu wanakopa kwa makubaliano. makubaliano ya bodi ya mikopo na wanuafaika wa mikopo ni makato ya 8% na sio 15%. walioweka 8% walikua wana huruma na wanyonge kwani walijua bado kuna makato mengine. huyu aliyekuja kukiuka makubaliano na akaanza kukata 15%, ni mwenye roho mbaya sana, anajiangalia yeye tu. kisa yeye hakatwi ktk mishshara yake, basi anaanzisha makato mapya bila kujali kama watu wana makato mengine mengine.
Sasa inawatokea puani.......mlikuwa mnatoa taarifa za uongo iili kwenye MEAN TEST mpatate mkopo mkubwa mtanue shuleni .....mara .....wazazi wako wanaishi kwenye nyumba za tope.......mara......wazazi wako ni walinzi wa usiku.....sasa lipenni fedha za watu ili watanzania wengine wenye sifa wasome!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom