- Thread starter
- #41
Mimi sitabiri wala sio mtabiri.Sawa.Tusubiri utabiri wako utakavyopambana na ukweli na haki.
Bali unapaswa utambue kuwa Haki ni Haki tu, inaweza kuwa kifungo jela au kuachiwa huru.
tatizo la wafuasi wa Mbowe kwa wao ili waone kuwa mbowe katendewa Haki ni kuachiwa huru tu! sio kifungo!!.
Haki ni kukubali kupokea matokeo yoyote yale yaliyo amuliwa na Mahakama.
nafahamu kuwa wafuasi wa Mbowe sio kwamba hawalijui hilo ila wanafanya makusudi ili kuishinikiza mahakama imuachie huru bila kuzingatia sheria!!
hilo sio ktk utawala wa sheria.