Sheria Ngowi jifunze toka kwa Peter Walden | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria Ngowi jifunze toka kwa Peter Walden

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Game Theory, Dec 23, 2011.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Acha ubishoo wa kujitangaza kwa bibi wa Dubai.
  Huwezi kujiita designer na fundi wa kushona wakati huna duka wala online shop

  nakushauri utulize ball na uwaone walio serious kama alika peter walden kwenye vido hapo chini...


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hivi kweli Shria duka lake liko wapi? Na ni kweli most of designers are gays???
   
 3. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  the guy anajitahidi sana, sidhani kama kila mtu anafanikiwa kwa kufuata fulani alivyofanya, kila binadamu ana instinct zake na uwezo fulani wa kufanya mambo kwa utofauti. Pia nadhani ingekuwa bora kumshauri hizo means nyingine kama unaona zitamsaidia. Huwa namuona sana pale southern sun hotel mida ya jioni unaweza muona pale au ukamshauri kwa social network.
   
 4. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Ukumbi mbovu sana huo, bora angefanyia nyumbani diamond jibilee
   
 5. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Sheria Ngowi Kiboko bwana. Alipambisha harusi yangu ikapambika. Mtoa maada ushauri wako mzuri ila acha maneno yasiyo mazuri kwa kitu kisichokuathiri wewe.
   
 6. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Hupitwi...
   
 7. f

  friendsofjeykey Senior Member

  #7
  May 29, 2013
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa nini TFF walimnyima tenda ya suti za wachezaji wetu?
   
Loading...