Sheria na utaratibu baada ya mtumishi wa Serikali kufariki

Segekid

New Member
Jun 30, 2020
1
20
Je, iwapo mtumishi wa Serikali akafariki mshahara wake utaendelea kuingia au lah.

Iwapo alikuwa akiishi kwenye nyumba ya Serikali, utaratibu gani unatumika kuiondoa familia yake kwenye nyumba ya Serikali na utaratibu wa mirathi.

Wajuzi wa Mambo hayo naomba mtusaidie kwa manufaa ya Jamii nzima.
 

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
4,273
2,000
Ninachojua atalipwa mwezi huo tu alipofariki,atasafirishwa na gari ya serikali kwenda mazikoni. Nyumba ya serikali itarudishwa muda sio mrefu.

Mirathi yake itafuatiliwa na familia baada ya kikao cha kumchagua msimamizi wa mirathi. Vipi jombaa umefiwa? Au unamuombea dingi yako avute chap?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom