Sheria na mimba kwa wanafunzi ingetafuta namna ya kubana pande zote

Kwangu mi naona hukumu ilitakiwa kutolewa baada ya mtoto kuzaliwa ili DNA ipimwe wengi wamefungwa kwa kusingiziwa.

Halafu limtu baada ya miaka kibao lina-confess
 
Unazungumzia mtoto wa sayari ipi wa miaka 18.Unaishi jupita au mihiri?
Naona wewe unaishi kwenye "ideal society !" Sio society tunaoishi sisi wengine, mwenzetu upo peponi kabisa, hongera sana.
Nakupa moja hii ili ujifunze.
Miaka 15 iliopita nilienda kijiji kimoja, baada ya mda mfupi niliandikiwa barua ndefu sana na binti mmoja wa form 1, nilipoipuuza nikaandikiwa barua nyingine kusisiza kuwa yuko serious! Swali ni nani alie mlaghai mwenzake?
Baada ya mda alipigwa mimba na mwanafunzi wa shule nyingine na mpaka sasa wanaishi pamoja.
Scenerio no2: Binti mmoja wa miaka 12-14 alienda kwa dokta baada ya kupata std.Dokta akamdadisi aliotembea nao.
Alitaja wanaume zaidi ya 20 wa kila aina, je hao wote walimlaghai?
Jamaa unaonekana ni mtoto mdogo usie na uzoefu wa maiasha halisi ya TZ au unaishi sehemu moja tu uliozaliwa na hujatembea na kushuhudia vitimbi vya wanajamii hao unaowaita watoto.Kuna watoto halisi na kuna watoto paka shume bora uonane na Simba.
Dunia ilivyo sio kama unavyoitafsiri wewe bali hujitafsiri yenyewe.Tchao!!!
Huyu jamaa anazungumzia sura ya nje ya hili Jambo lakini hajaenda deep kutafuta mzizi wa tatizo.

Nakumbuka nikiwa form one kulikuwa na wadada wanatambiana kabisa wnaaume walio nao, jinsi wanavyoenjoy sex na jinsi wanavyowapata wanaume. Na wengine walikuwa wanamiliki madaftari ambayo walikuwa wamejaza maneno ya mahaba. Hata Kuna ndugu yangu mmoja alikuja kusoma tution na akakaa kwetu na yeye Kuna daftari nilikuta kaandika Mambo ya kikubwa.

Baadaye nilipokuwa advance, o level walikuwa mchanganyiko so tulikuwa tunapata bahati ya kuongea na wale mabinti hasa ambao walikuwa na kesi za mahusiano. Ukiwauliza kwanini mnafanya hivyo, hamuogopi mimba na HIV? Majibu yao yalikuwa mimba hawaogopi kwakuwa shule yenyewe hawaitaki na hata wakipata mimba hawatafanywa chochote labda aliyewapa mimba. Wengi walikuwa wanapukutika tu baada ya kupewa mimba wengine wanapewa na wanafunzi wenzao, wanafunzi wa advance na watu wa mtaani.
 
Wanaooueana mimba shuleni asilimia kubwa ni wanafunzi wa umri mmoja na vijana wa mtaani wanaoendana umri na wasio na shughuli zinazoeleweka na hutoroka wakisha fanya yao.
 
Mtoto anawezaje kupata mimba. Nature yenyewe tayari inaonesha bayana kuwa huyo binti ni mtu mzima. Mbona wanyama wakisha vunja uongo hawazuiliwi kuzaa eti mpaka wafikishe miaka kadhaa?
Kazae wako umpe mimba. Halafu tukushughulikie.
 
Mtoto chini ya miaka 18 hana uwezo wa kiakili wa KUKUBALIANA kufanya mapenzi.

Mafirauni wengi wanachukulia umri mdogo wa mtoto kama advantage ya kumlaghai na kumu exploit kingono.

Hiyo haikubaliki.

Tafuta wanawake waliokomaa huko mitaani wengi tu. Achana na vitoto vya shule.
Kama unasema akiwa under 18 anakuwa bado hana akili. je?
Nyegez anakuwanazo au hana?
 
Labda kama aliyemtia mimba ni mwanafunzi mwenzie vinginevyo miaka 30 ni bomba tu kwa asiye mwanafunzi anayeenda kumshupalia mwanafunzi na labda kumharibia masomo yake.

Sheria: Ukimpa mwanafunzi ujauzito unafungwa miaka 30 ila binti atalea mtoto na Kkma familia inauwezo itampeleka private.

Binti: Kwakuwa sheria hainifungi jela na shule siitaki nafanya yangu hata nikipata ujauzito hakuna shida yoyote atajijua anayenipa hiyo mimba.

Maoni yangu: Sheria ingetafuta namna ya kubana pande zote ikiwezekana mwanamke naye awe na adhabu ya kwenda jera kwa kipindi fulani na siyo kumpa adhabu mwanaume tu.

Cha ajabu wazee wa haki za binadamu wanataka mwanamke azidi kupewa Uhuru zaidi wa kushika mimba muda wowote, kuzaa na kurudi shule.

View attachment 1718885
 
Labda kama aliyemtia mimba ni mwanafunzi mwenzie vinginevyo miaka 30 ni bomba tu kwa asiye mwanafunzi anayeenda kumshupalia mwanafunzi na labda kumharibia masomo yake.
Unapazungumziaje hapo alipopewa mimba na mwanafunzi mwenzie. Kwamba panakuwaje hapo?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unapinga kubaka huku wakati huo huo unakataa sheria zinazozuia ubakaji! — uko sawa kweli?

Wewe upo tayari kuona katoto chako cha kike kanaingiziwa uume na kuharibiwa na lijitu tu fyatu? - wengine mpaka wanalawitiwa!

Ati nature! Hiyo nature ndio inakufundisha kulawiti watoto wadogo?

Malaya wote hawa mjini umeshindwa kuwafuata, unakimbilia kulawiti vitoto vya shule! halafu unasingizia nature! — Kichwa kama nature!

Aiseee, i wish i could be IGP nianze na nyinyi mafirauni wa aina yako!
Unamkomalia,utadhani umemkuta na kosa,kumbe anatoa maoni yake tu
 
Mtoto chini ya miaka 18 hana uwezo wa kiakili wa KUKUBALIANA kufanya mapenzi.

Mafirauni wengi wanachukulia umri mdogo wa mtoto kama advantage ya kumlaghai na kumu exploit kingono.

Hiyo haikubaliki.

Tafuta wanawake waliokomaa huko mitaani wengi tu. Achana na vitoto vya shule.
Yaani unavyokomaa utadhani umemkuta gheto na wakusoma
 
Mi ikitokea binti yangu kajazwa mimba bora tuelewane na upande wa pili wamchukue wakaishi nae kuliko kulea toto ambalo bab’ake yuko jela 30 yrs toto litakuwa likijua pale ndo kwao binti nae akishakuwa mama muda si mrefu atabeba mimba ya pili ko tayari hapo home itakuwa jam kulea watoto usojua baba zao siwezi.
Kuliko kijana kwenda jela mbebane na mjamzito mwende mkaishi huko mnakokujua si mmlipendana bana.
 
Back
Top Bottom