Sheria na mimba kwa wanafunzi ingetafuta namna ya kubana pande zote

Mbona inakinzana na sheria ya ndoa?

Mbona inaruhusiwa mwenye umri wa kuanzia miaka 14 anaruhusiwa kuoa au kuolewa kwa ridhaa ya wazazi au walezi?
 
Shida ni moja, tunamfunga kijana kwa kumpa mimba mwanafunzi lakini huyu mwanafunzi tunamuacha na kwa Sasa wanataka akijifungua arudi shule kabisa.

1.Haudhani kwamba hichi kitu kinamfanya binti kuwa huru kufanya mapenzi kwa sababu anajua hatapewa adhabu yoyote kisheria kwa zaidi ya kufukuzwa shule tu.

2. Haudhani kwamba wanafunzi wakike wengi ambao hata shule hawaipendi wanatumia mwanya huu kupata ujauzito ili waache shule.

Ninaongea kwasababu Nina experience na hawa wanafunzi. Wengi wao wanashiriki mapenzi wakiwa wanalijua hili vizuri kabisa kwamba wao hawaguswi na sheria.

Ndiyo maana ninashauri kwamba ili kupunguza hizi mimba, sheria ingetafuta namna ya kuwabana Hawa wanafunzi ili kusudi wakifatwa na mwanaume wajue kabisa kwamba ikitokea mimba watakuwa responsible mbele ya sheria.

Pili tafsiri ya neno ubakaji wengi tunajua binti alikuwa anapita jamaa akamvizia na kumuingilia kinguvu na binti anashindwa kujitetea. Lakini kwa wanafunzi ubakaji ni wa aina hii ni asilimia ndogo Sana na imebaki maeneo machache Sana. Lakini asilimia kubwa (zaidi ya 90)ya hao wanafunzi wanakuwa na makubaliano wa mahusiano na wanafunzi wenzao au watu wa mtaani na mimba zinatokea .
Kwa wanafunzi ambao wapo chini ya miaka 18 hao ni watoto hata kama amekubali kwa ridhaa yake,hapo sheria lazima ikushughulikie tu

Naweza kukubaliana na wewe kwa wanafunzi ambao wana umri zaidi ya miaka 18 ambao kwa sheria zetu ni umri ambao wanaweza kufanya maaumuzi, hao labda nao itafutwe adhabu,kwamba pamoja na kufukuzwa shule akishajifungua atumikie jela ya nje kwa kufanya kazi za jamii hata mwaka mmoja wakati huo akilea ndipo aje arudi kumalizia shule ili nayeye atambue thamani ya shule
 
Shida yangu iko hapo Sasa kwamba mmesema miaka 30 na kwa mwanaume, na tunaiona sheria ikitekelezwa, lakini bado mimba ziko pale. Nini kifanyike? Serikali iwape adhabu Kali ikiwezekana zifanane na anazopata mwanaume, kwasababu sheria ya Sasa inawafanya wanafunzi wajiachie tu wakijua kwamba hata wakipata mimba mkono wa sheria hauwapati ili. Hii itasaidia kuwafanya wawe wagumu kujihusisha na mapenzi.

Sina tatizo na adhabu wanayopewa wanaume.
 
Nafikiri kesi ya ubakaji iwe hivi, yule aliyetumia nguvu bila makubaliano awe na adhabu tofauti na yule aliyebaka kwa kukubaliana na binti. Afu pia adhabu ya ubakaji itofautiane kutokana na umri. Kwa mfano mvulana wa miaka 18 aliyempa mimba binti wa miaka 17 anayesoma shule azabu yake itofautiane na mwanaume mwenye miaka 40 aliyempa mimba binti wa miaka 17. Nasema hv kwa sababu mvulana wa miaka 18 na bint wa miaka 17/16 ni rika moja na uelewa ni kama unaendana lakini mwanaume wa 40yrs huyu tayari ni mature kuweza kujua kbsa anafanya kosa.
 
We umeng'ang'ania wanajiachia wanajiachia. Tunaotakiwa tuwalinde nisisi. Ye hata akijiachia hawezikujipa mimba. Ila kama atajiachia kwa watoto wenzake wakampa mimba hilo halinaga ubishi. Sasa mtoto akijiachia we MTU mzima ndo ushiriki kujiachia nae. Huo utuuzima wako utakuwa na maana gani? Hata wakijiachia hawawezi wazidi makahaba wa kule sinza
 
Hapo nisawa na kusema mtu wa bukoba akikamatwa kwa kuingia kinyemela nchini Uganda adhabu itofautiane na mtu wa shinyanga. Kwa kuwa bukoba nikaribu na mpaka. Mfumo umewekwa kwa mstari. Yaani kuanzia 18 mpaka kusiko na kikomo we nimtu mzima so jichunge ila kuanzia miaka 17 mpaka sifuri kurudi mpaka hasi huyo nimtoto alindwe. Kwahiyo hata we mvulana tunakulinda mwisho 17 zaidi ya hapo we nimtu mzima mwenzetu. Ukifanya kosa unashitakiwa kama mzee wa miaka 250 full stop
 
We umeng'ang'ania wanajiachia wanajiachia. Tunaotakiwa tuwalinde nisisi. Ye hata akijiachia hawezikujipa mimba. Ila kama atajiachia kwa watoto wenzake wakampa mimba hilo halinaga ubishi. Sasa mtoto akijiachia we MTU mzima ndo ushiriki kujiachia nae. Huo utuuzima wako utakuwa na maana gani? Hata wakijiachia hawawezi wazidi makahaba wa kule sinza
Hiyo njia imeshindwa kuzuia tatizo, fuatilia matakwimu Kama yote yanayotoka Sasa hivi. Hebu pendekeza njia unayoona itasaidia kupunguza hili tatizo
 
Kizuri ni kwamba serikali sio wazinzi hivyo sheria haitobadilishwa kama wanavyoshauri wachangiaji humu kwamba kulea mimba nk hivyo ni visingizio ili waendelee kuharibu hawa watoto wa kike wasiojitambua bado.

Na ni vizuri zaidi wakienda mbele kwa kufanya sheria iwabane wote wakike na wakiume iwe watu wazima au watoto na jela iwe 40years kwa wakiume ambaye ni mtu mzima na 20years kwa mtoto wa kiume na 10years kwa wakike kama ikigundulika wamekubaliana hiyo itawafanya wote wasithubutu kufanya hicho kitendo kama mada ilivyoshauri.
Wataenda kujenga taifa gerezani na watoto watafutiwe vituo maalum vya kulelewa watawaona wazazi wao wakimaliza kifungo vyao sababu ya uzembe wao.

Ukitia mwanafunzi wa kike mimba umetia hasara serikali na taifa zima kwa ujumla kwa kuongeza rate ya umasikini na ujinga ukichangia kuharibu maisha ya mwanafunzi na wazazi wake pia na mtoto atakayekosa malezi ya upande mmoja.
Pia serikali kukuhudumia wewe ukiwa gerezani kwa kutumia kodi za wananchi wanaojitambua wanaofanya kazi.

Ukiachana na wanafunzi kwa wanafunzi.

Watu wazima wa kike ambao sio wanafunzi wapo kibao wengine wanajiuza kabisa iweje uharibu maisha ya mtoto wa mwenzako?

Na hii dunia bila sheria ingekuwa fujo tu kila mtu angefanya uchafu wake na kwa africa kwasababu africans wengi hawajitambui hivyo bila shaka kungejaa watoto wenye vitoto visivyo na baba na umasikini wa kutisha mara 30 ya sasa hivi.
Walioweka hizi sheria sio watoto bali ni watu wanaojitambua.

Sasa kama ni mtu mzima jitie uhuni wa kutia mimba mwanafunzi hata awe over 18 then ukatafune 30 years jela hapo ni nusu ya maisha yako yote unayamalizia ndani ya kuta nne na kutumia debe kama choo kwa miaka 30 sababu ya kitendo cha dk10 tu.

Jaribu kufikiria wewe uwe na mtoto wa kike mwenye miaka 16 au 18 na bado hajamaliza shule na wewe mzazi ni masikini.
alafu mimi mwenye miaka 30+ nitoke huko nimtie mimba mtoto wako wa kike wewe kama mzazi utafanyaje?
Haijarishi tulikubaliana au hatukukubaliana ila bila mimi kumconvince huyo mtoto basi asingefikiria hicho kitu hivyo kwa asilimia kubwa tatizo ni mimi.
Je utakubali nizagae zagae tu mtaani huku ukiniona na mwanao yuko nyumbani nimemjaza mimba?

Mimi kama ndio baba wa mtoto nahakikisha hata baada ya kutoka jela lazima ulipie kivyovyote vile hata kukukata viungo vya mwili wako hakuna usalama hapa.

Mtu mzima akifikiria kufanya ngono na mwanafunzi basi hana akili.
Najua watongozaji wanafunzi watanipinga hapa.
 
Huku uswahilini ukitia mimba mnaelewana tu. Hawawezi kukufunga alafu uwaachie mzigo wa kulea.
 
Mtoto chini ya miaka 18 hana uwezo wa kiakili wa KUKUBALIANA kufanya mapenzi.

Mafirauni wengi wanachukulia umri mdogo wa mtoto kama advantage ya kumlaghai na kumu exploit kingono.

Hiyo haikubaliki.

Tafuta wanawake waliokomaa huko mitaani wengi tu. Achana na vitoto vya shule.
Unazungumzia mtoto wa sayari ipi wa miaka 18.Unaishi jupita au mihiri?
Naona wewe unaishi kwenye "ideal society !" Sio society tunaoishi sisi wengine, mwenzetu upo peponi kabisa, hongera sana.
Nakupa moja hii ili ujifunze.
Miaka 15 iliopita nilienda kijiji kimoja, baada ya mda mfupi niliandikiwa barua ndefu sana na binti mmoja wa form 1, nilipoipuuza nikaandikiwa barua nyingine kusisiza kuwa yuko serious! Swali ni nani alie mlaghai mwenzake?
Baada ya mda alipigwa mimba na mwanafunzi wa shule nyingine na mpaka sasa wanaishi pamoja.
Scenerio no2: Binti mmoja wa miaka 12-14 alienda kwa dokta baada ya kupata std.Dokta akamdadisi aliotembea nao.
Alitaja wanaume zaidi ya 20 wa kila aina, je hao wote walimlaghai?
Jamaa unaonekana ni mtoto mdogo usie na uzoefu wa maiasha halisi ya TZ au unaishi sehemu moja tu uliozaliwa na hujatembea na kushuhudia vitimbi vya wanajamii hao unaowaita watoto.Kuna watoto halisi na kuna watoto paka shume bora uonane na Simba.
Dunia ilivyo sio kama unavyoitafsiri wewe bali hujitafsiri yenyewe.Tchao!!!
 
Hatutauona utu uzima wako kama utarubuniwa kwa barua ya binti wa form one. Hivyo itabidi tukupe tu geto maana ukikutana na makahaba wataiba kila kitu mpaka namaisha yako. Hivyo tunakutunza usiibiwe na makahaba jamhuri ikapata hasara
 
Ok! Mimi nilimpuuzia, kwa mantiki ya kurubuni. Je huyo binti ningetembea nae ingekuwa kumrubuni au uhuni wake?
Ona sasa akapewa mimba na mwanafunzi mwenzake je huyo kijana alimrubuni? Form2 anaweza kumrubuni form 2 mwenzake?
Kumbuka 15 years ago nilikuwa kijana naechipukia na shababi wala si mtu mzima kama leo.
 
Ndo maana watoto kwa watoto huwa haina tatizo
 
Back
Top Bottom