Sheria na mimba kwa wanafunzi ingetafuta namna ya kubana pande zote

Kwahiyo ulitakaje!?

Tukuache firauni uendelee kulawiti watoto kwa kisingizio cha kulea sijui mimba!?

Yes, sheria ina madhara. Lakini tutashughulika na wewe kwanza.

Kinachopaswa kufanyika ni marekebisho ya sheria ili kusudi mbakaji afungwe jela na alipe fidia ya fedha kwa ajili ya malezi ya mtoto.

Tutatuma hata brokers wauze hako kabodaboda.

Ukiwa unamiliki nyumba itakuwa afadhali zaidi, maana 40 millions and above ni pesa reasonable.
Bwa mdogo kuwa na heshima, huu ni mjadala ambao kila mtu anatoa maoni yake. Kama ulizaliwa kwa ufirauni ni tatizo lako pia jifunze kujenga hoja sio kila unayemwona mtu humu unafikiri ni aina ya watu unaokaa nao.
 
kuwa na heshima, huu ni mjadala ambao kila mtu anatoa maoni yake. Kama ulizaliwa kwa ufirauni ni tatizo lako pia jifunze kujenga hoja sio kila unayemwona mtu humu unafikiri ni aina ya watu unaokaa nao.
Aisee sikujua kama nimekugusa namna hii! Pole sana!

Lakini mtu anayetetea ubakaji wa watoto ni firauni tu.

Ubakaji hauwezi kuhalalishwa kwa jambo lolote lile.
 
Hakuna anayetetea ubakaji tunachojadili ni kama adhabu zinazotolewa zinasaidia kupunguza au kumaliza tatizo hilo
Hivi ukimfunga mtu miaka 30 umeshafikiria nani atatoa matunzo ya yule mtoto hapo utaona hata mtoto anayezaliwa ameadhibiwa
Mtoa mada ametoa hoja wote waadhibiwe juzijuzi tumesoma kuhusu kijana aliyekuwa kidato cha nne amefungwa baada ya kusingiziwa amempa mimba mwanafunzi wa kidato cha pili, huyo kijana ameshatumikia na bado yupo kifungoni lakini msichana anasema nafsi yake imemsuta kwa sababu alishinikizwa na wazazi wake amtaje huyo kijana.
Nani anayeweza kufidia madhara ya huyo kijana aliyopotezewa muda wake na kuharibiwa maisha yake
 
Kuna sheria zinatungwa mahsusi kulinda kundi fulani ambalo lipo hatarini au halina nguvu,ndio kama hao wanafunzi,kumbuka mtoto wa kike kwa jamii zetu za kiafrika hapewi nafasi kama mtoto wa kiume tangu nyumbani hivyo hata kupewa nafasi ya kusoma ni bahati ndio maana ili kulinda elimu ya mtoto wa kike lazima sheria iwe Kali maana tayari wako nyuma na jamii bado haijamthamini.

Ni sawa na Leo ukamatwe na kilo moja na nyama ya twiga bila kibali unaweza ukafungwa hata miaka thelathini au ukalipa fidia kubwa lakini twiga huyohuyo akivamia akala shamba lako zima na akakuua wewe ,ndugu zako watalipwa kifuta jasho tu wala sio fidia.

Kwahio ukishasika ni mwanafunzi,jua sheria ipo hapo kumlinda yeye sio wewe,mambo ya makubaliano hamna hapo,unakubaliana nini na mtoto?huyo hana uwezo wa kufanya maamuzi,kwahio ukitongoza mwanafunzi jiandae kisaikojia kabisa namna gani utaishi gerezani na wafungwa wenzio kama ukibainika.

Kwenye jamii zetu hizi za kiafrika ambazo mtoto wa kike anaaoneka 'daraja la pili' ukiruhusu huo Uhuru ni kuzidi kumdidimiza .
 
Hapo mi sheria naitetea. Unapotembea na mwanafunzi kwa sheria za sasa inamaana huna tarajio LA atapata mimba. Hivyo kwa lugha nyingine huna mpango wa kulea kwahiyo hata tukikuacha huo nimzigo Wa wazazi wa binti tu.
 
Hakuna anayetetea ubakaji tunachojadili ni kama adhabu zinazotolewa zinasaidia kupunguza au kumaliza tatizo hilo
Hivi ukimfunga mtu miaka 30 umeshafikiria nani atatoa matunzo ya yule mtoto hapo utaona hata mtoto anayezaliwa ameadhibiwa
Mtoa mada ametoa hoja wote waadhibiwe juzijuzi tumesoma kuhusu kijana aliyekuwa kidato cha nne amefungwa baada ya kusingiziwa amempa mimba mwanafunzi wa kidato cha pili, huyo kijana ameshatumikia na bado yupo kifungoni lakini msichana anasema nafsi yake imemsuta kwa sababu alishinikizwa na wazazi wake amtaje huyo kijana.
Nani anayeweza kufidia madhara ya huyo kijana aliyopotezewa muda wake na kuharibiwa maisha yake
Kuhusu mbakaji kusingiziwa, hilo ni jambo lingine ambalo kwanza halijathibitishwa. Ni madai tu ya vijiweni.

Na hata kama ni kweli, sioni kama inahusiana na lolote hapa. Ndio maana kuna nafasi ya kukata rufaa.

Kuhusu malezi ya mtoto, nadhani nimeshasema huko juu. Kwamba, mbakaji anapaswa kufungwa jela pamoja na kulipa fidia ya fedha ili kusaidia malezi ya mtoto pamoja na fidia kwa ajili ya binti aliyeharibiwa maisha.

Badala ya kwenda tu jela na kuacha mtoto anataabika kwa sababu ya matokeo ya uhalifu wake, atalipishwa na fidia ya fedha pamoja na kukamata mali zake.

Iwe bodaboda, ama bank account, ama nyumba, ama makato ya mifuko ya hifadhi. Huko kote tutakata pesa inayotakiwa.
 
Unapinga kubaka huku wakati huo huo unakataa sheria zinazozuia ubakaji! — uko sawa kweli?

Wewe upo tayari kuona katoto chako cha kike kanaingiziwa uume na kuharibiwa na lijitu tu fyatu? - wengine mpaka wanalawitiwa!

Ati nature! Hiyo nature ndio inakufundisha kulawiti watoto wadogo?

Malaya wote hawa mjini umeshindwa kuwafuata, unakimbilia kulawiti vitoto vya shule! halafu unasingizia nature! — Kichwa kama nature!

Aiseee, i wish i could be IGP nianze na nyinyi mafirauni wa aina yako!
Soma tena uelewe usikurupuke na mihemko kama mtoto wako kabakwa huo ni uzembe wako.
Nimezungumzia kwa wale waliobalehe na wamekubaliana wakaenda vichochoroni wakatiana mimba halafu nyie na akili zenu timamu eti mnapoteza muda mahakamani kwa watu wawili waliokubaliana kutiana mimba, ni ujuha.
 
Kuna sheria zinatungwa mahsusi kulinda kundi fulani ambalo lipo hatarini au halina nguvu,ndio kama hao wanafunzi,kumbuka mtoto wa kike kwa jamii zetu za kiafrika hapewi nafasi kama mtoto wa kiume tangu nyumbani hivyo hata kupewa nafasi ya kusoma ni bahati ndio maana ili kulinda elimu ya mtoto wa kike lazima sheria iwe Kali maana tayari wako nyuma na jamii bado haijamthamini.

Ni sawa na Leo ukamatwe na kilo moja na nyama ya twiga bila kibali unaweza ukafungwa hata miaka thelathini au ukalipa fidia kubwa lakini twiga huyohuyo akivamia akala shamba lako zima na akakuua wewe ,ndugu zako watalipwa kifuta jasho tu wala sio fidia.

Kwahio ukishasika ni mwanafunzi,jua sheria ipo hapo kumlinda yeye sio wewe,mambo ya makubaliano hamna hapo,unakubaliana nini na mtoto?huyo hana uwezo wa kufanya maamuzi,kwahio ukitongoza mwanafunzi jiandae kisaikojia kabisa namna gani utaishi gerezani na wafungwa wenzio kama ukibainika.

Kwenye jamii zetu hizi za kiafrika ambazo mtoto wa kike anaaoneka 'daraja la pili' ukiruhusu huo Uhuru ni kuzidi kumdidimiza .
Shida ni moja, tunamfunga kijana kwa kumpa mimba mwanafunzi lakini huyu mwanafunzi tunamuacha na kwa Sasa wanataka akijifungua arudi shule kabisa.

1.Haudhani kwamba hichi kitu kinamfanya binti kuwa huru kufanya mapenzi kwa sababu anajua hatapewa adhabu yoyote kisheria kwa zaidi ya kufukuzwa shule tu.

2. Haudhani kwamba wanafunzi wakike wengi ambao hata shule hawaipendi wanatumia mwanya huu kupata ujauzito ili waache shule.

Ninaongea kwasababu Nina experience na hawa wanafunzi. Wengi wao wanashiriki mapenzi wakiwa wanalijua hili vizuri kabisa kwamba wao hawaguswi na sheria.

Ndiyo maana ninashauri kwamba ili kupunguza hizi mimba, sheria ingetafuta namna ya kuwabana Hawa wanafunzi ili kusudi wakifatwa na mwanaume wajue kabisa kwamba ikitokea mimba watakuwa responsible mbele ya sheria.

Pili tafsiri ya neno ubakaji wengi tunajua binti alikuwa anapita jamaa akamvizia na kumuingilia kinguvu na binti anashindwa kujitetea. Lakini kwa wanafunzi ubakaji ni wa aina hii ni asilimia ndogo Sana na imebaki maeneo machache Sana. Lakini asilimia kubwa (zaidi ya 90)ya hao wanafunzi wanakuwa na makubaliano wa mahusiano na wanafunzi wenzao au watu wa mtaani na mimba zinatokea .
 
Sisi Islam tunaonewa. Kw sababu dini yetu msichana akivunja ungo tayari ni mkubwa, anafaa kuolewa. Hatuangalii umri. Akishapevuka anafaa kuolewa
Umri ni uzandiki ulioletwa na wazungu, wakatuachia msala kisha wao wakawapa mabinti zao uhuru wa kumkalibisha boy friend nyumbani na wakatunga sheria za kutoa mimba , sisi tunajifanya kujua kuliko hata walioleta masheria ya hovyo.
Mwafrika anasheria zake za asili ila anaona bora za mzungu au mwarabu.Kamwe huwezi sikia mwarabu kazikubali sheria za mzungu wala huwezi sikia mzungu kazikubali sheria za mwarabu, kila mmoja anatii utamaduni wake.
 
Aisee sikujua kama nimekugusa namna hii! Pole sana!

Lakini mtu anayetetea ubakaji wa watoto ni firauni tu.

Ubakaji hauwezi kuhalalishwa kwa jambo lolote lile.
Mada inazungumza tofauti na mambo ya ulawiti.Anzisha mada ya ulawiti, naona unapotosha hii mada.
Sheria ya ubakaji ni kati ya sheria iliofeli kabisa.Mitaani kuna mabinti kibao waliotiwa mimba na wazazi wa pande mbili huyamaliza kimya kimya, wakikupeleka mahakamani labda sio mweji wa hapo na hawana uchungu na wewe hata ukifia jela.
Binafsi sijawahi mshuhudia kijana aliemtia mimba binti kafungwa maisha .Unaongea kishabiki sana wala si uhalisia.
 
Huyo kapanic achana naye
 
Soma tena uelewe usikurupuke na mihemko kama mtoto wako kabakwa huo ni uzembe wako.
Nimezungumzia kwa wale waliobalehe na wamekubaliana wakaenda vichochoroni wakatiana mimba halafu nyie na akili zenu timamu eti mnapoteza muda mahakamani kwa watu wawili waliokubaliana kutiana mimba, ni ujuha.
Mtoto chini ya miaka 18 hana uwezo wa kiakili wa KUKUBALIANA kufanya mapenzi.

Mafirauni wengi wanachukulia umri mdogo wa mtoto kama advantage ya kumlaghai na kumu exploit kingono.

Hiyo haikubaliki.

Tafuta wanawake waliokomaa huko mitaani wengi tu. Achana na vitoto vya shule.
 
Shida ni moja, tunamfunga kijana kwa kumpa mimba mwanafunzi lakini huyu mwanafunzi tunamuacha na kwa Sasa wanataka akijifungua arudi shule kabisa.

1.Haudhani kwamba hichi kitu kinamfanya binti kuwa huru kufanya mapenzi kwa sababu anajua hatapewa adhabu yoyote kisheria kwa zaidi ya kufukuzwa shule tu.

2. Haudhani kwamba wanafunzi wakike wengi ambao hata shule hawaipendi wanatumia mwanya huu kupata ujauzito ili waache shule.

Ninaongea kwasababu Nina experience na hawa wanafunzi. Wengi wao wanashiriki mapenzi wakiwa wanalijua hili vizuri kabisa kwamba wao hawaguswi na sheria.

Ndiyo maana ninashauri kwamba ili kupunguza hizi mimba, sheria ingetafuta namna ya kuwabana Hawa wanafunzi ili kusudi wakifatwa na mwanaume wajue kabisa kwamba ikitokea mimba watakuwa responsible mbele ya sheria.

Pili tafsiri ya neno ubakaji wengi tunajua binti alikuwa anapita jamaa akamvizia na kumuingilia kinguvu na binti anashindwa kujitetea. Lakini kwa wanafunzi ubakaji ni wa aina hii ni asilimia ndogo Sana na imebaki maeneo machache Sana. Lakini asilimia kubwa (zaidi ya 90)ya hao wanafunzi wanakuwa na makubaliano wa mahusiano na wanafunzi wenzao au watu wa mtaani na mimba zinatokea .
mtoto yoyote wa jinsia yoyote wa umri chini ya miaka 18 hawezi kuwa na criminal culpability.

Hata wavulana wadogo wanaobaka huwa wanaachiliwa, isipokuwa katika mazingira fulani tu.

Kwahiyo usitafute huruma ya kijinsia.

Mafirauni wanapenda sana kujificha ficha kwenye visingizio.

We jitu zee kwanini usitafute wanawake mitaani huko wamejaa kila kona!

Unamendea mendea vibinti vidogo kama mwendawazimu?
 
Umevamia Uzi bila ya kuuelewa. Hakuna sehemu niliyosema mwanaume mbakaji au anayempa mimba mwanafunzi asifanywe chochote. Soma comment zangu zote. Ninajaribu kuona namna ya kuubanq pia upande wa pili ili kupunguza hizi mimba

Pia usifikiri ni wewe tu uliye na watoto wa kike, sote tunao na sote tushakuwa na ndugu au dada zetu kabisa ambao walipewa mimba wakiwa mashuleni na wengine hata kwa kubakwa. So usihisi sisi ni washamba wa Hilo tukio ukajiona wewe peke yako ndiye unajua maumivu peke yako.

Ila Kama mtoto wako kafirwa au kubakwa hivi karibuni na ukaona huu Uzi ndiyo wa kutolea hasira Basi pole Sana aisee. Ila usifikiri hapa jukwaani ndio kunamtu aliyemfira au kumpa mimba mtoto wako.
 
Back
Top Bottom