Sheria mpya yapelekea CNN, BBC na Bloomberg kusitisha kuripoti Urusi

Wabongo bana! Mmarekani akitamka kwamba huyu mbaya basi na wabongo nao wanaaminishwa ni mbaya! Kwani Putin ashawahi kufanya kibaya kipi kwa mwafrika au mbongo hadi aitwe Hitler? Ni Hitler kwa Marekani na Ukraine si kwa kila mtu.
Next Monday utaona uchumi wa Tanzania .Sasa Hivi hizi sanction zitamaliza africa
 
Haha! Mkuu unajua unajiingiza kwenye ugomvi usioujua!!
Ugomvi wa Mungu na shetani ulianzia huko juu wakauleta huku kwa viumbe anavyovipenda..😂
Hakukuwa na kosa kwa Adam na Eva kula tunda kwani hawakuumbwa kuwa perfect!. Go deep.
Tatizo walikula visivyolika. Ona sasa Putin anachowafanyia na wala hawawezi mfanya chochote maana naye analo tunda la mema na mabaya.....NUCLEAR!!! ......!
 
Wanaficha ukweli baada ya kuona hadithi ni tofauti na walivyofikiria na sasa wanataka wabaki na taarifa zao za kupika lkn wanasumbuka tu dunia imebadilika na taarifa zitapatikana tu.

Mpaka sasa karibu wiki mbili hamna gains zozote za maana alizopata, wao ni kuua raia na kubomoa majengo tu.

The timid Russian forces out of sheer frustration and dismay are desperately striving to maintain foothold in Ukraine but in so doing are facing a stiff resistance from the determined Ukrainian forces forcing the Russian invaders to launch panic and unguided assaults on civilian targets.
 
Kwani wakirusha habari za ukweli watafungwa?
Ndiyo..
Put-in anataka wananchi wake walishwe taarifa za propaganda na uongo uongo tu kama za TBC ya Tanzania.
Wananchi wa Urusi waliandamana sana kupinga hiyo vita ya putin, ndo sababu hataki wajue kinachoendelea kule.
Hata Facebook na mitandao mingine huru ishapigwa pini kule!
 
Kwani wakirusha habari za ukweli watafungwa? Kama wanasitisha Basi wanatuaminisha kuwa huwa wanaripoti fake news. Ndio maana tulikua tunaambiwa wanajeshi kadhaa wa Urusi wamekufa kumbe propaganda

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa unawezaje kuandika kuwa majeshi ya urusi yako kule yanalinda raia tu wa doneksi, wasibughuziwe na majeshi ya ukraine kwa hicho tunacho kiona?!!
 
Back
Top Bottom