Sheria Mpya ya Manunuzi yaanza kufanya Kazi

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,517
1,359
DSCN4451.JPG

Hata scrapper ni poa, basi chukueni na hili.

Wafungwa wanaofika magereza kwa siku ni zaidi ya mia moja, watatosha kwenye kagari haka jamani?

Why Arusha and not Dar Es Salaam? Au wametayarishiwa makamanda ambao kila siku wanakamatwa na polisi na kuletwa mahakamani, je ni coincidence au?
 
ni coincidence
 
Back
Top Bottom