Sheria mpya, Jeshi la zima moto na uokoaji kupewa silaha za kazi gani

Sio tu first priority! Silaha ndani ya jeshi la zima moto hazina umuhimu wowote ule
Kipaumbele kikubwa cha jeshi la zima moto kuwa imara ni upatikanaji wa vifaa bora na vya kisasa katika shughuli zake, waongeze helicopter za jeshi la zimamoto zitakazoweza kutoa huduma kama vile kuungua kwa msitu,meli,ghorofa nk.
Sioni ubaya wa kuwapa silaha kama kifaa. Ila sio first priority katika suala zima la planning and implementation na wasisahau hizi sheria baada ya miaka 5 ndiyo zinakuja kuleta utata tena
 
Imani yako tu hiyo.
Usitake kiandikwe kila kitu humu.
Unaweza kuwa na uwezo mdogo wa kuelewa haya mambo sasa huamini wenzako ndio maana unaona kama unajua sana wakati si kweli

Sent from my SM-N960N using JamiiForums mobile app
Mambo mangapi ya hovyo yamepitishwa na Bunge?

Kwamba wao ndio wanaakili sana?

Hoja zenu ni mfu.
 
Back
Top Bottom