JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 625
- 938
Kifungu cha 71 cha Kanuni za Uchaguzi 2020 (Uchaguzi wa Urais na Ubunge) kinaeleza kuwa:-
Kutokuwepo kwa wakala au wagombea wakati wa upigaji au kuhesabu kura hakuwezi kubatilisha mchakato huo.
Yaani, mtu achelewe ama aamue kutokwenda kuwakila mgombea wake labda kwa kugundua mgombea wake atashindwa halafu sisi tuache kupiga kura !? Hilo haliwezekani, Mkuu.Sheria za kipumbavu Sana hizi
Vipi akitolewa illegally kama walivyotolewa na wengine kuzuiliwa kuingia janaYaani, mtu achelewe ama aamue kutokwenda kuwakila mgombea wake labda kwa kugundua mgombea wake atashindwa halafu sisi tuache kupiga kura !? Hilo haliwezekani, Mkuu.
Kwa hiyo, naunga mkono uwepo wa kipengere hicho cha sheria kama kilivyoletwa na JF Advocacy Team.
Hilo halikubaliki, na kweli kama wameonewa, mgombea waliyekuwa wanamuwakilisha achukue hatua ya kwenda mahakamani!Vipi akitolewa illegally kama walivyotolewa na wengine kuzuiliwa kuingia jana
Imeangalia mambo mengi.... vipi watu wakiamua kutopeleka mawakala kabisa kwenye uchaguzi? Tutaacha kufanya?Sheria za kipumbavu Sana hizi
Nchi ina sheria za ajabu hii na ni Woga wa kuogopa kushindwaNEC Ikitangaza Matokeo Hayatapingwa Popote
Tazama Malawi Hawana Sheria Za Ajabu
Matokeo Yanapigwa Popote
Hapo hakuna kulazimishwa km una msimamo, vinginevyo utakua umehiari mwenyewe. Kwanini ushiriki kwenye kitu ambacho kina kasoro ambazo mwisho wa siku ni kujinyang'anya haki yako mwenyewe ?Sheria zimetungwa na wale waliopanga kuzuia mawakala kuingia vituoni. Walijua wanatakachofanya tangu mwanzo.
Halafu vyama vya siasa vikalazimishwa kuzisaini na kuambiwa kuwa wasiposaini, hawataruhusiwa kushiriki uchaguzi!
Umesikia hukumu ya mahakama kuu ya Pennsylvania ilivyoamua kesi ya malalamiko ya Trump kuhusu mawakala wake kutokuwa karibu na meza za kuhesabia kura?Sheria za kipumbavu Sana hizi
Hapo hakuna kulazimishwa km una msimamo, vinginevyo utakua umehiari mwenyewe. Kwanini ushiriki kwenye kitu ambacho kina kasoro ambazo mwisho wa siku ni kujinyang'anya haki yako mwenyewe ?
Hata makaburu walikuwa na sheria "halali" kwa ajili ya kulinda"masilahi" yao halali! Sheria hizo ziliwekwa kwa lengo na nia "ovu". Yaliyojiri yanadhihirisha nia hiyo.View attachment 1614779
Kifungu cha 71 cha Kanuni za Uchaguzi 2020 (Uchaguzi wa Urais na Ubunge) kinaeleza kuwa:-
Kutokuwepo kwa wakala au wagombea wakati wa upigaji au kuhesabu kura hakuwezi kubatilisha mchakato huo.
Hapo hakuna kulazimishwa km una msimamo, vinginevyo utakua umehiari mwenyewe. Kwanini ushiriki kwenye kitu ambacho kina kasoro ambazo mwisho wa siku ni kujinyang'anya haki yako mwenyewe ?