Sheria Kandamizi ya Mawasiliano

mwangalizi

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
842
512
Kwakuwa wana siasa, haswa naongelea wabunge wa CCM wameamua kutufanya wapangaji katika nchi yetu kwa kutupitishia sheria kandamizi nyingi tu katika awamu hii ya tano; mojawapo ikiwa hii ya kutokumiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao moja, bila kuzingatia kuwa zote utakuwa umesajili kwa alama za vidole na hivyo ukiamua kufanyia cyber crime yao utabambwa tu! Bila kujali kuwa hawakuwahi, hawakupendekeza na wala hawatawahi kutuwekea vocha katika laini hizo, napendekeza tufanye yafuatayo ili kurudisha heshima yetu kama wananchi.

1. Kwa kuwa mwezi huu ndiyo tuliopewa wa kuchagua kati ya laini zako kadhaa za mtandao mmoja uchague utabaki na ipi, hivyo ifikapo mwisho wa mwezi huu wananchi wote tususie kutumia laini zetu kwa siku mbili mfululizo, yaani mwisho wa mwezi huu na mwanzo wa mwezi wa nane. Hii itatusaidia kuwajulisha sisi si wapangaji bali ndiyo Tanzania yenyewe.

2. Wabunge wote mazandiki waliopitisha upuuzi huu tuwaadhibu kupitia sanduku la kura, wasirudi tena bungeni. Hili liwe fundisho kwa wengine tutakao wapa dhamana ya kutuwakilisha, wawaze sisi kwanza kabla ya njaa zao.

3. Tuwatenge wabunge wote mazandiki katika jamii zetu, tusishirikiane nao kwa chochote, tusihudhurie misiba wala sherehe zao na jamaa zao; wajipendekeza kwenye huzuni na raha zetu tuwatimue bila staha, maana imeandikwa mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye na huzuni ya babaye. Zamani katika Israel wenye ukoma walitengwa na jamii, wala hakuna aliyekuwa anajipa ukoma mwenyewe; sembuse hawa mabaradhuli wetu walioyataka wenyewe!

4. Aliyesaini sheria hii mbovu na za kufanana na hii, asipewe uongozi, hata ngazi ya shina, hata katika familia yake! Na ili familia kulinda heshima yao yawapasa kumtenga nao, wamwone kama kituko, wajute kuwa nasaba moja naye, wailaani siku ile ambayo alizaliwa. Kinyume na hivyo nao waingizwe kwenye kundi la wabunge mazandiki.

KAMA WENYE NCHI UMEFIKA WAKATI SASA WA KUSITISHA SIASA ZA MAJI TAKA NA NJAA, WE WANT REAL, SCIENTIFIC POLITICS!
 
Shida ambayo naiona hadi tunafika hapa ni kutokana na mfumo mbovu wa ujenzi wa taasisi za kuisimamia na kuiwajibisha serikali na watendaji wake.

Taasisi imara ya kwanza ni familia. Yaani hauwezi kuzungumzia maendeleo kwenye jamii yoyote kama haujazungumzia familia yenye mitazamo positive juu ya maendeleo ya inchi.

Nitakupa mfano mdogo sana. Mzazi anamwambia mtoto wake kasome uje kuwa msaada katika familia. Na katika msisitizo huo utagundua wazazi huwaambia watoto kuchukua masomo au kozi ambazo zitawasaidia kuoata kazi zenye mishahara mizuri, marupurupu au mianya mizuri ya udokozi.

Leo tunavijana wengi wakosa fursa za ajira wamekimbilia kazi za jeshi, ualimu na kadhalika ili kujipatia mikopo ya kuendesha maisha yao na kusaidia familia zao. Sasa unategemea kwa kukosa uzalendo katika taifa kutoka ngazi ya taifa tunapataje viongozi waadilifu na wapenda maendeleo?

Kama kila familia inawekeza katika udokozi na tamaa then tutarajie kuwa na watendaji waserikali na viongozi wa serikali wala rushwa, wenye tamaa, wavivu kufiriki na wasiojua nini taifa linahitaji katika kufanya maendeleo.

Kwa kifupi tunafuga wenyewe nyoka wanaotuuma.
 
Shida ambayo naiona hadi tunafika hapa ni kutokana na mfumo mbovu wa ujenzi wa taasisi za kuisimamia na kuiwajibisha serikali na watendaji wake.

Taasisi imara ya kwanza ni familia. Yaani hauwezi kuzungumzia maendeleo kwenye jamii yoyote kama haujazungumzia familia yenye mitazamo positive juu ya maendeleo ya inchi.

Nitakupa mfano mdogo sana. Mzazi anamwambia mtoto wake kasome uje kuwa msaada katika familia. Na katika msisitizo huo utagundua wazazi huwaambia watoto kuchukua masomo au kozi ambazo zitawasaidia kuoata kazi zenye mishahara mizuri, marupurupu au mianya mizuri ya udokozi.

Leo tunavijana wengi wakosa fursa za ajira wamekimbilia kazi za jeshi, ualimu na kadhalika ili kujipatia mikopo ya kuendesha maisha yao na kusaidia familia zao. Sasa unategemea kwa kukosa uzalendo katika taifa kutoka ngazi ya taifa tunapataje viongozi waadilifu na wapenda maendeleo?!

Kama kila familia inawekeza katika udokozi na tamaa then tutarajie kuwa na watendaji waserikali na viongozi wa serikali wala rushwa, wenye tamaa, wavivu kufiriki na wasiojua nini taifa linahitaji katika kufanya maendeleo.

Kwa kifupi tunafuga wenyewe nyoka wanaotuuma
Nakubaliana na wewe, asilimia 100. Nina huo uzoefu kwa kushuhudia, maana jirani zangu wawili ni matrafiki.

Mmoja ni mla rushwa balaa na hapo kwake amewekeza vitu vya nguvu! Mwingine ni mcha Mungu, ana deal na sheria barabarani na kushauri zaidi, nyumba yake ya kawaida tu. Hivyo JAMII inayo tuzunguka humcheka na kumwona mzubaifu, mshamba, anaye kufa masikini. Lazima tuanze kwa kubadili mentality ya jamii yetu.

Hili kundi ni dogo, hatua yoyote tutakayo chukua itatosha kuwarudisha kwenye mstari. SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU
 
Hii duwa yako hasa kipengele cha 4 naomba Mungu aipokee iwe kweli.
Mungu ni wa HAKI.

Hivyo tuchukue hatua sasa, maana tunacho tafuta ni haki zetu za msingi, mfano kuwasiliana ni haki yetu ya msingi, bila kupangiwa staili, iwe kwa kupiga goti, kukonyeza, kuimba n.k. Mradi hauathiri uhuru wa wengine.

Tunaenda Misikitini na Makanisani kuwasiliana na Mwenyezi Mungu. Anayeingilia mawasiliano lazima atakuwa na nasaba na lusifa.

Kwa kuwa ni haki tunasimamia, Mungu yupo nasi.
 
Nakubaliana na wewe, asilimia 100. Nina huo uzoefu kwa kushuhudia, maana jirani zangu wawili ni matrafiki.

Mmoja ni mla rushwa balaa na hapo kwake amewekeza vitu vya nguvu! Mwingine ni mcha Mungu, ana deal na sheria barabarani na kushauri zaidi, nyumba yake ya kawaida tu. Hivyo JAMII inayo tuzunguka humcheka na kumwona mzubaifu, mshamba, anaye kufa masikini. Lazima tuanze kwa kubadili mentality ya jamii yetu.

Hili kundi ni dogo, hatua yoyote tutakayo chukua itatosha kuwarudisha kwenye mstari. SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU
True.
 
Ukweli ni kwamba hatuna tegemeo zaidi yetu wenyewe. Viongozi wengi wa dini nao wamegeuka wachumia tumbo, Misikiti na Makanisa ni vitega uchumi tu kwao, kama hoteli au baa yoyote.

Hawana tena ujasiri wa kukemea dhambi na ubaya, ndiyo maana walitishwa kwa sheria ya kuwafutia vitega uchumi vyao. Wakafyata.
Hivyo hatupo na wengi wao.

Lazima wananchi tufanye sasa. WASICHEZE NA MAISHA YETU
 
Kwakuwa wana siasa, haswa naongelea wabunge wa CCM wameamua kutufanya wapangaji katika nchi yetu kwa kutupitishia sheria kandamizi nyingi tu katika awamu hii ya tano; mojawapo ikiwa hii ya kutokumiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao moja, bila kuzingatia kuwa zote utakuwa umesajili kwa alama za vidole na hivyo ukiamua kufanyia cyber crime yao utabambwa tu! Bila kujali kuwa hawakuwahi, hawakupendekeza na wala hawatawahi kutuwekea vocha katika laini hizo, napendekeza tufanye yafuatayo ili kurudisha heshima yetu kama wananchi.

1. Kwa kuwa mwezi huu ndiyo tuliopewa wa kuchagua kati ya laini zako kadhaa za mtandao mmoja uchague utabaki na ipi, hivyo ifikapo mwisho wa mwezi huu wananchi wote tususie kutumia laini zetu kwa siku mbili mfululizo, yaani mwisho wa mwezi huu na mwanzo wa mwezi wa nane. Hii itatusaidia kuwajulisha sisi si wapangaji bali ndiyo Tanzania yenyewe.

2. Wabunge wote mazandiki waliopitisha upuuzi huu tuwaadhibu kupitia sanduku la kura, wasirudi tena bungeni. Hili liwe fundisho kwa wengine tutakao wapa dhamana ya kutuwakilisha, wawaze sisi kwanza kabla ya njaa zao.

3. Tuwatenge wabunge wote mazandiki katika jamii zetu, tusishirikiane nao kwa chochote, tusihudhurie misiba wala sherehe zao na jamaa zao; wajipendekeza kwenye huzuni na raha zetu tuwatimue bila staha, maana imeandikwa mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye na huzuni ya babaye. Zamani katika Israel wenye ukoma walitengwa na jamii, wala hakuna aliyekuwa anajipa ukoma mwenyewe; sembuse hawa mabaradhuli wetu walioyataka wenyewe!

4. Aliyesaini sheria hii mbovu na za kufanana na hii, asipewe uongozi, hata ngazi ya shina, hata katika familia yake! Na ili familia kulinda heshima yao yawapasa kumtenga nao, wamwone kama kituko, wajute kuwa nasaba moja naye, wailaani siku ile ambayo alizaliwa. Kinyume na hivyo nao waingizwe kwenye kundi la wabunge mazandiki.

KAMA WENYE NCHI UMEFIKA WAKATI SASA WA KUSITISHA SIASA ZA MAJI TAKA NA NJAA, WE WANT REAL, SCIENTIFIC POLITICS!
Mwangalizi!

Umejitahidi kukwepa ngumi ya uso kwa kufumba macho. Ila waliokataza kwa kutunga Sheria wametoa sababu kwa nini watu hawaruhusiwi Ila kwa kibali toka TCRA.

Katika nukta zako hujasema kwanini unataka uruhusiwe kuwa na laini zaidi ya moja kwa mtandao. Na inavyoonesha huna sababu ndio maana hata hicho kipengele cha ILA KWA KIBALI TOKA TCRA umekipuuza.

Cyber crime eti hawajui kufanya kazi kwakua tayari wanafinga printi zako. Mkuu hivyo nyumbani kwako unaweka mlinzi na bado milango inafunga na yawezekana ndani una Bunduki, panga nk. Auhuo mlango unafunga kuzuia mbu na wadudu wengine? Japo sijapatapo kusikia mbu kafungua mlango uliofungwa na funguo.

Acheni kutafuta lawama tii sheria bila shuruti
 
Watanzania wengi hawajui jambo hili, tuna kazi kubwa nchi hii.
 
Hadi laini unanipangia niwe nazo ngapi.?.
Ukiona kuna laini imefanya makosa Itafuteni .
Si mnajua kila mtu alipo?
hata niwe na laini 100 kikubwa niwe nimezisajili na hazifanyi uhalifu

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Mawazo yako nayaheshimu.
Tusaidie kumiliki laini ya pili, tatu n.k inakuwa na tofauti ukipewa kibali na usipopewa kibali? Bila kibali utasajili kwa finger print, kwa kibali unasajili kwa roho?
 
Ujinga wa kiwango cha lami ni kwamba eti ukiomba kibali unaruhusiwa kuongeza nyingine. Akili sijui wameziacha kabatini au shuleni!
 
Mawazo yako nayaheshimu.
Tusaidie kumiliki laini ya pili, tatu n.k inakuwa na tofauti ukipewa kibali na usipopewa kibali? Bila kibali utasajili kwa finger print, kwa kibali unasajili kwa roho?
Nimesema hivi! TCRA wameeleza sababu za kwanini hawataruhusu laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja wa simu.

Wewe sababu zako ni zipi?.

Aidha usajili kwa finger print au kwa roho hizi ni dalili za mtu anayetumia maneno makali baada ya kushindwa hoja.

Kuhusu kukusaidia siwezi kukusaidia kama wewe mwenyewe huna sababu za kwanini upewe laini hizo.
 
TCRA ni watekelezaji tu,
Nahitaji line zaidi ya moja kwa matumizi yafuatayo;
1. Yangu binafsi kwa call, sms, chats
2. Yangu kwa ajili ya modem katika desktop yangu, na hapa nitahitaji kuwa nazo za kutosha kwa mitandao tofauti. Unaelewa kwamba hawa watoa huduma vifurushi vyao hubadilika badilika. Hivyo kuna msimu wa tigo, mwingine Vodacom n.k.
3. Nyumbani nina handset kwa ajili ya familia. Kupitia hiyo nina uwezo wa kuwatumia chochote napokuwa safarini na kuwajulia hali.
4. Unaelewa habari ya vifurushi vya chuo? Je, haikupasi kuwa na laini mbili za Halotel? Moja ya kawaida na nyingine ya chuo kwaajili ya gharama ndogo za internet?

Yaonekana una uhusiano fulani na TCRA, maana unawakingia kifua, lakini hao ni wasimamiaji tu wa sheria, hatuna ugomvi nao.
Ugomvi wetu ni kwa watunzi wa sheria mbovu mbovu.
Endelea sasa.
 
Utakapo andika barua ya maombi namba 1, na 4 usiweke kama sababu za kumiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao.

Vinginevyo unaweza andika barua sasa ukatoa sababu hizo mbili na watakupa ruhusa.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom