mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,782
- 105,885
Eh wana beef hawa
Ova
Eh wana beef hawa
sawaTaliban ndio waislamu halisi
Wewe muislamu wa kuchovya tu
Tofautisha Uislamu na Uarabu. Waarabu unaweza kusema ni kabila. Uislamu ni dini. Na kwa taarifa yako wapo Waarabu wakristu, na juu ya yote taalibani siyo Waarabu bali Waafghanistani (kabila na nchi). Tambua pia Waislamu wengi duniani wako nje ya kule dini ilipoanzania (Uarabuni). Nikukumbushe pia hata wakristu wanatofautiana, huwezi kuwaambia Wakristu eti kinachofundishwa na Walokole ni 100% ukristu.Uko kwenye Quran. Labda wewe hujui kuisoma.
Ukumbuke Quran imeandikwa kiarabu, wale ni waarabu wanaielewa kuliko nyie waarabu kuja.
Hivyo wanachokifundisha Taliban ni 100% islam, purely islamic. Hakuna wanapokosea.
Kufuga ndevu siyo utmaduni wa Kiarabu/Kiislamu tu, bali hata Wayahudi Asilia (Orthodox Jewish) hutakiwa kufuga ndevu.Taliban kama wanataka ndevu watu wafuge tu..mbona nyie watumishi wa serikali mnakwangua kidevu mpaka vipele vinatoa machozi...nyie mliwafuata wazungu na wao wanafuata sharia..ila sio lazima katika uislamu kuwa na ndevu maana kuna viumbe hawakujaaliwa ndevu.
Hauwezi kutofautisha uislam na uarabu, hilo haliwezekani. Usidanganywe na mtu yeyote. Uarabu na uislamu ni mate na ulimi, samaki na maji.Tofautisha Uislamu na Uarabu. Waarabu unaweza kusema ni kabila. Uislamu ni dini. Na kwa taarifa yako wapo Waarabu wakristu, na juu ya yote taalibani siyo Waarabu bali Waafghanistani (kabila na nchi). Tambua pia Waislamu wengi duniani wako nje ya kule dini ilipoanzania (Uarabuni). Nikukumbushe pia hata wakristu wanatofautiana, huwezi kuwaambia Wakristu eti kinachofundishwa na Walokole ni 100% ukristu.
Shida yako unaleta masihara katika mambo ya msingi. Ndugu Uislamu hauungwi ungwi kama Dini nyingine hoja zake lazima ziwe na dalili kwa maana Quran na Khadith sahihi (vipo vigezo vya hadithi ipi ni sahihi na ipi ni dhaifu na hapa si mahala pake)Ndio tumewauliza hapo,wenyewe wamesema ni haramu kwa mwanaume kunyoa ndevu. Kwa msisiitizo No dume nyoaling nduvu
Tufwile twe banyambalaa!!Ugwee...
Hata mimi nashangaa kama kuna siku ya hukumu(kiama) kwa nini umlazimishe mtu kusali, kuacha zinaa,pombe, kufuga ndefu nk.Nimekua Muislam muumini kwa takribani miaka 40 sasa sijawahipo kusikia wala kusoma Aya ya Quran au Khadith ya Mtukifu wa Daraja, Bwana Mtume Mohammad S.A.W ikilazimisha jambo lolote bali kupinga kulazimisha.
Huu uislamu wao wanautoa wapi?
Hili nalo jambo, ila kulazimishana kukata ndevu kazini haikatazwi.Taliban kama wanataka ndevu watu wafuge tu..mbona nyie watumishi wa serikali mnakwangua kidevu mpaka vipele vinatoa machozi...nyie mliwafuata wazungu na wao wanafuata sharia..ila sio lazima katika uislamu kuwa na ndevu maana kuna viumbe hawakujaaliwa ndevu.
Sio waarabu wote ni waislamu na sio kweli kuwa kwa kuwa ni waarabu basi wanajua quraan, je wazungu kwa kuwa wengi wao ni wakristo wao ndio wanaijua biblia zaidi?Uko kwenye Quran. Labda wewe hujui kuisoma.
Ukumbuke Quran imeandikwa kiarabu, wale ni waarabu wanaielewa kuliko nyie waarabu kuja.
Hivyo wanachokifundisha Taliban ni 100% islam, purely islamic. Hakuna wanapokosea.
Pamoja.Hili nalo jambo, ila kulazimishana kukata ndevu kazini haikatazwi.