Sheria inasemaje mtu asiye na taaluma ya utangazaji na habari kutangaza redioni au kwenye Runinga?

deo paul555

JF-Expert Member
Oct 22, 2018
1,405
520
Habari wadau,

Kuna wimbi linaendelea la watu kufanya kazi pasi na taaluma ya habari na utangazaji. Hivi sheria inasemaje? Wizara na TCRA mliangalie hili. Yaani taaluma iheshimiwe.

Natumai Serikali hii sikivu, chukueni hatua kwenye hili.
 
Habari wadau,kuna wimbi linaendelea la watu kufanya kazi pasi na taaluma ya habari na utangazaji,hivi sheria inasemaje? Wizara na tcra mliangalie hili yaani taaluma iheshimiwe natumai serekali hii sikivu chukueni hatua kwenye hili.
Vituo karibia vyote utafukuza wengi sana
 
nani kakudanganya kutangaza ni taaluma?? Kitenge, Kikeke wote hao vyeti wamepata wakiwa tayari wanatangaza.... sasa Zembwela, Mpoki, Dokii huwezi jua wameshapata vyeti..... Lulu aliwahi kuwa mtangazaji IPP na nadhani ana cheti. TUSIDUMAZE AKILI KWAMBA HAWA WATU MAANA NI WAIGIZAJI BASI HAWAJIFUNZI MAMBO MENGINE.... wivu wa kijinga na kipuuzi.
 
we jàmaa mtoto wako amekuzidi AKILI..naimani hiyo
 
Habari wadau,

kuna wimbi linaendelea la watu kufanya kazi pasi na taaluma ya habari na utangazaji. Hivi sheria inasemaje? Wizara na TCRA mliangalie hili. Yaani taaluma iheshimiwe.

Natumai serekali hii sikivu, chukueni hatua kwenye hili.
mjadala mujarabu kàbisa huu
 
nani kakudanganya kutangaza ni taaluma?? Kitenge, Kikeke wote hao vyeti wamepata wakiwa tayari wanatangaza.... sasa Zembwela, Mpoki, Dokii huwezi jua wameshapata vyeti..... Lulu aliwahi kuwa mtangazaji IPP na nadhani ana cheti. TUSIDUMAZE AKILI KWAMBA HAWA WATU MAANA NI WAIGIZAJI BASI HAWAJIFUNZI MAMBO MENGINE.... wivu wa kijinga na kipuuzi.
Povu zito hili mwinyi baba
 
Hii tasnia haijapewa uzito na umuhimu inaostahili ndio maana imeachiwa hata wapuuzi na makanjanja kufanya kazi
Habari wadau,

kuna wimbi linaendelea la watu kufanya kazi pasi na taaluma ya habari na utangazaji. Hivi sheria inasemaje? Wizara na TCRA mliangalie hili. Yaani taaluma iheshimiwe.

Natumai serekali hii sikivu, chukueni hatua kwenye hili.
 
Mimi huwa nashindwa kuelewa hasa vichwa vya habari na habari yenyewe ni tofauti
 
hukumu yao ni kifungo cha miaka 12, bakora 7 wakati wana-ingia na 7 wakati wana-toka
 
Sheria inasemaje?
sheria ni kwenye kodi tu nilipe ipasavyo na kufuata sheria zinazowasimamia waajiriwa.
Kwingine hayakuhusu hata nikiajiri la saba kikubwa mimi naona huyo ndiye anayenitimizia mahitaji yangu kwenye ofisi yangu.
 
Back
Top Bottom