Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Wanasheria naomba kujua Endapo Askari Polisi Atampiga Risasi Raia Asiye na Kosa na Kumuua.
Je, Askari huyo Atachukuliwa Hatua za Kisheria?
Je, Ndugu wa Marehemu?
Wana Fidia yoyote Watalipwa kwa kupoteza Ndugu yao Aliyeuawa bila Kosa?
Je, Askari huyo Atachukuliwa Hatua za Kisheria?
Je, Ndugu wa Marehemu?
Wana Fidia yoyote Watalipwa kwa kupoteza Ndugu yao Aliyeuawa bila Kosa?