Sheria inasemaje kwa mtu alie dhurumiwa kwenye Michezo ya Bahati nasibu (Kamari/betting)

Simbajr

Senior Member
Apr 1, 2010
188
41
Ndugu zangu wataalam wa sheria naomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu betting /Kamari au bahati nasibu.
1. Katiba ya nchi ina ruhusu hii michezo?
2.Je ikitokea tatizo let's say umedhurumiwa kwa namna moja ama ingine sheria ina mlindaje mchezaji (final consumer)?
3. Haki za mchezaji wa Kamari ni zipi.. Maana najua Kamari inatambulika ndio maana inachezwa kwenye ma cassino mbali mbali nchini chini ya usimamizi wa balaza la bahati nasibu la taifa.
4.NAOMBA KUWASILISHA
 
nimeanza kubet mwaka 2013 nimeshinda mara nyingi sana sijawahi dhurumiwa pesa @serikalu nayo inatambua mchezo wa huu wa bahati na sibu thus why wanakata kodi kwa18%
 
Hamna namna,Hii michezo ni halali na ina sheria zake.

Kamari ndio hairuhusiwi hapa Tanzania.
Wale wanaokaa mnazi mmoja na pale kaRume kuchezesha kamari si halali.

Serikali iwakamate na kuwaleta kwetu tuwasgughulikie
 
Nenda gaming board Samora street ghorofa ya tatu harbour viwe kila kitu kipo pale kuhusu betting
 
Ndugu zangu wataalam wa sheria naomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu betting /Kamari au bahati nasibu.
1. Katiba ya nchi ina ruhusu hii michezo?
2.Je ikitokea tatizo let's say umedhurumiwa kwa namna moja ama ingine sheria ina mlindaje mchezaji (final consumer)?
3. Haki za mchezaji wa Kamari ni zipi.. Maana najua Kamari inatambulika ndio maana inachezwa kwenye ma cassino mbali mbali nchini chini ya usimamizi wa balaza la bahati nasibu la taifa.
4.NAOMBA KUWASILISHA
Nafikir hujui sheria... Tembea na vifungu vya sheria wanaelewa. Meridianbet.co.tz walishanielewa siku moja
 
Back
Top Bottom