Sheria inasemaje kuusu urithi wa watoto wa nje jamani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria inasemaje kuusu urithi wa watoto wa nje jamani??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BASIASI, Nov 23, 2011.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 180
  Pengine hili somo litawapa msaada wale mnaozaa nje mnawaandaje watoto wenu wasije pata shida
  mnapoaga dunia kwa kweli...hili nimeona kwenye gazeti la jana kesi ya kupinga urithi kwa mtoto
  wa nje ya ndoa..naamini wengi mmejitayarisha na kasheshe hili hasa wanandoa wa jf..na wanaume wengi wa sikuhizi wamekuwa kimya mpaka unapoletewa live bila cchenga jibaba kama marehemu unakosa cha kuongea

  ninasema hivi kwetu tuko 5 wawili mama wa nje lakini hii hali ilinifanya kuwaweka ndugu zangu sawa mpaka leo hii tukikutana uwezi jua kama ni mama tofauti...pili tunasaidiana nilipopata nafasi sehemu nikliweza kuwatupa mdogo wangu na kaka ngu uk kwa kaka ambae ninamsaidia mwanae hapa dar..na matunda ninayofaidi sasa namshukuru mungu ..maana inafika tunaongea pamoja kama tuko dar

  ukiwa kama mzazi nasema si vyema ukatoka nje ya ndoa najua matatizo ila iwapo shetan akakupitia basi naomba umwandae huyo mwanao mapema jinsi gani atarithi mali zako

  wanasheria wa jf tusaidieni sheria ina semaje ya nchi kuhusu watoto wetu hawa
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  ni vyema kuandika wosia ili kulinda watoto wa nje
   
Loading...