Sheria inasemaje kuhusu viongozi wa aina hii?

nyasatu

Member
May 15, 2009
72
1
Wana JF,
Ni mara nyingiii sana nmekuwa nkisoma majibu yatolewayo na viongozi wetu especially kwa waandishi wa habari ndani ya nchi na yooote huwa yananisikitisha,mengi ya majibu hayo ni ya dharau,mafupi,yasiyoonyehsa chembe ya umakini na swala lenyewe linaloulizwa.
Kwa mfano nmetoka soma gazeti la mwananchi kuhusiana na sakata la chenge vs takukuru,i QUOTE

''Jana gazeti hili lilimtafuta Dk Hoseah ili azungumzie tuhuma hizo, alijibu kwa kifupi akisema: "Sina cha kuongea. Zungumza na Ofisa Uhusiano wangu."

Alipotafutwa Ofisa Uhusiano wa Takukuru, Doreen Kapwani naye alijibukwa kifupi akisema: "Nilishaongea na waandishi wa habari jana (juzi), mkawaulize wenzenu. Siwezi kurudia kila siku jambo hilo hilo".

Sasa jamani kama wewe ndio mtu unategemewa toa taarifa kwa jamii utachokaje toa taarifa hizo tena na tena unless taifa hizo zina tend kukufanya ujisikie guilty,haya majibu ni dharau ya hali ya juu kwa watu wenye nyadhifa nyeti ktk jamii,sishangai hilii mana mtu kama makamba nae nlihwahi soma akiulizwa why amekubali mtuhumiwa kama chenge achukue form ya kugombea uspika nae bila aibu aliwajibu waandishi pumba eti ulitaka nimfanyeje chenge,hapo sina uwakika na mjibu ya mkwereee ambae ndio kiongozi wao.

JAMANI IS THIS FAIR,sheria inasemaje juu ya hili,hawa watu wanaweza adhibiwa vipi,inaniuma sanaaa:A S cry:
 
Asipojibu unaandika kama uanvyoona na asilalamike.
Hawa takukuru ni wababaishaji. Hawana kazi yoyote. Hawa ndio wanaostawisha rushwa katika nchi yetu hii hii
 
Ni vizuri kuwanyima kura. Hapo ndipo nyodo zote zitaisha.

ubaya wengine nafasi zao haziitaji kura ya mlalahoi yaani wanafanya kuteuliwaaaa tu,izi nafasi za bure mm naona zimezidi ndio maa watu wana yodo sanaa,wale wanaosotea kuomba kura juani ivi unaweza fanya ivi kweliiiiiii

mm bado hamjanipa jibu na solution kwa hawa watu.....mwenye solution madhubuti atuambie jamaniii
 
Back
Top Bottom