Sheria inasemaje kuhusu mtu aliyekamatwa akiuza nyama ya mbwa?

Blood of Jesus

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
2,952
5,871
Mtu amekamatwa akiuza nyama ya mbwa (wamemchinja mbwa wakaandaa mishikaki wakawa wanauza, na nyingine wakauza kwenye supu). Watu hawa watashitakiwa kwa kosa gani? na ni sheria gani chini ya kifungu gani.

Msaada please!
 
Kama inavyoonesha hapa
IMG-20210430-WA0021.jpg
 
kero kwa umma, how.

Maana hilo kosa liko kwenye Penal code (kama sikosei) lakini sidhani kama kuuza nyama ya mbwa ni moja ya makosa yalioorodheshwa kama nuisance kwenye kifungu hicho
Lipo kwa mujibu wa sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16/Penal Code
 
Kumbe JF ina uhaba wa wanasheria kiasi hiki. Sijaamini.


Ngoja tuendelee kumhubiri Kristo, msulubiwa. Hili ndilo pekee la maana, mengine ni kujilisha upepo tu.



YESU NI MWOKOZI
 
Sheria sijui

Ila hamna kosa kama utachinja na kula mwenyewe ila ukilisha wengine bila kuwapa taarifa hapo utashitakiwa unawalisha sumu unataka kuwadhuru afya zao

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Walinzi hua wanaliwa wao hufa tu...lakini wamepimwa?hapo polisi wasikosee kuandika maelezo ,maelezo yawe mafupi ,kwamba wameuza nyama ya mbwa bila kupimwa....ili tuone kifungu kiko wapi kwenye sheria IPI imekiukwa...aaaaahaaaa,mkwawa nawanajeshi wake wangekua wazima wangekua mashahidi ,ulaji nyama ya mbwa sio kilamtu anaruhusiwa bana(iwe imepimwa au la

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom