Sheria inasemaje kuhusu kuzaa na mke wa mtu?

Nenda ustawi wa jamii ,maana ukiishi kinyumba na mwanamke kwa miezi mitatu mpaka sita sheria inatambua kuwa huyo ni mkeo,sasa ukiacha mke kwa kumtelekeza kwa muda wote huo naamini pia anakuwa huru kusaidiwa hasa upande wa kusuguana vikojoleo.
sawa.
 
Kitanda hakizai haramu, cha pili ukizaa na mke wa mtu jua umepigwa...
Makosa ni unapigwa akiwa mtoto akisha kuwa akajitambua lazima shauku ya kumjua mzazi halisi itaingia.

Jambo la msingi ni mzazi kutaka kuona ukuaji wa mtoto kumpatia mahitaji kwa kiwango cha kuridhisha ikiwa ni pamoja na elimu sio mtoto anakuja kukutafuta wakati wamesha mchelewesha kweny kila kitu.
 
makosa ni unapigwa akiwa mtoto akisha kuwa akajitambua lazima shauku ya kumjua mzazi halisi itaingia.
jambo la msingi ni mzazi kutaka kuona ukuaji wa mtoto kumpatia mahitaji kwa kiwango cha kuridhisha ikiwa ni pamoja na elimu sio mtoto anakuja kukutafuta wakati wamesha mchelewesha kweny kila kitu.
Hapo hawezi kufanya lolote sababu yule ni mke wa mtu, yeye ataendelea kua ndugu mtazamaji...

Unless yule mwanamke aachike ndiyo atakua na mamlaka nae...
 
Habari!
Ninaomba kufahamisha sheria ya ndoa Tanzania inasemaje ikiwa umezaa na mke wa mtu? nataka kujua kama unaweza endelea kutoa matunzo ya mtoto akiwa kwenye familia nyingine...
Nenda kafungue jalada la kudai mtoto ili umlee akiwa kwako.lakini kuwa makini usije funguliwa kesi ya ugoni
 
Mleta mada ukipata wasaa pitia pm huku nikupe maujanja mtoto wako utampewa bila longolongo
 
Utakuwa na bahati ukiendelea kuwa hai kwa miaka ijayo 3-5yrs, uzoefu aina ya mtu kama wewe kifo mlango uko wazi nia na sababu Viko clear
 
Hiyo ni sababu ya kuvunjika kwa ndoa ya mtu endapo mmoja wapo atafanya kitendo cha uzinzi na ikathibitika na pia wewe unaweza kulipa fidia endapo mwenye mke ataamua kukushitaki kakini pia kwenye hali ya kawaida ikitokea kwa upande wako mkeo azalishwe na mwanaume mwingine kwako utajiskiaje au kwenye hii dunia anajiona kidume ni wewe tu au unadhani utayemuoa ni mwanamke wa tofauti sana.
Usisahau mwanaume alimtelekeza mkewe na kwenda kuishi na mke mwingine. Wote hapa wana hatia yafaa waridhiane. Kama wanaume wangekuwa wanabeba mimba huenda baba naye angekuwa amezaa na huyo mwanamke.
 
wazo la kuiba linanijia akilini ila nimekuja hapa ili kujua uhalali wa kisheria mana kweli anasema ni mke wake ila swali alikuwa wapi kwa miaka mnne..?
mpaka nimegharamika kwa kiasi hiki tambua nilikuwa natoa pesa zote kwajili ya matunzo.
Usiibe, nenda kaombe mtoto. Unalindwa na mazingira ya kuishi mtoto siyo salama. Sheria inasema hata kama mtoto ni under 7yrs, anaweza kulelewa na baba au mtu mwingine ikiwa itathibitika mtoto atakuwa salama kuliko kuishi na mamaye.

Hapa mke na mume wanagombana kwa kuwa mtoto si wa baba mwenyenyumba. Kuna hatari ya mtoto kuuawa katika ugomvi au kupewa sumu na baba mwenyenyumba.

Kwa nafasi hii ustawi wa jamii wanaweza kumtenganisha mama na mtoto ili mtoto awe salama.

Nilifundishwa nikashinda na kumchukua mtoto wa mwaka na miezi mitatu nikalea mwenyewe.
 
Hiyo ni sababu ya kuvunjika kwa ndoa ya mtu endapo mmoja wapo atafanya kitendo cha uzinzi na ikathibitika na pia wewe unaweza kulipa fidia endapo mwenye mke ataamua kukushitaki kakini pia kwenye hali ya kawaida ikitokea kwa upande wako mkeo azalishwe na mwanaume mwingine kwako utajiskiaje au kwenye hii dunia anajiona kidume ni wewe tu au unadhani utayemuoa ni mwanamke wa tofauti sana.
Hiyo fidia ni kama sh?
 
Back
Top Bottom