Sheria inasemaje kuhusu hili

Myhope

Senior Member
Jul 20, 2017
154
67
CMA wanapochelewesha kutoa nakala ya hukumu kwa kipindi cha mpaka miezi 3 sasa. Je nini waweza kufanya?
 
Cma wanapochelewesha kutoa nakala ya hukumu kwa kipindi cha mpaka miezi 3 sasa. Je nini waweza kufanya?
waandikie remider letter nyingi uwezavyo... uwe n ushahidi kuwa ulifuatilia n hukupata hukumu. angalia kama ni lazima uwe na hukumu ndiyo uombe rufaa etc....
 
waandikie remider letter nyingi uwezavyo... uwe n ushahidi kuwa ulifuatilia n hukupata hukumu. angalia kama ni lazima uwe na hukumu ndiyo uombe rufaa etc....
Kama usipowaandikia hukumu inakuwa ni batili au?
 
Mkuu kama unahitaji nakala ya hukumu ili ufanye appeal ni bora ukalodge hiyo appeal mahali husika pasipo hiyo nakala. Wao (hiyo mamlaka ya appeal) ndio watomba hiyo nakala toka CMA, wakati mwingine huwa wanatumia hii loophole kukuchelewesha ili muda wa appeal upite
 
Back
Top Bottom