kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,392
Pia utakosa zaidi ya tr mbiliSimple tu..........Bunge litaendelea bila wao hadi mwisho
Pia utakosa zaidi ya tr mbiliSimple tu..........Bunge litaendelea bila wao hadi mwisho
Mbn unaropoka tu BrazaKatiba hata kama itasema kifungu fulani kinasema hivi, Bwana yule atasema na kuamuru iwe 'vile'!
Katiba kwa sasas si chochote!
Hata kijiweni kwako karibu wataanza kukucheka kwa uduni wa uelewa wako.Chama saccos. Wampe Mbowe na genge lake hivyo viti maalum.
Mkuu wa propaganda Chadema unapost nini?Ibadilishwe sheria haraka ili nafasi hiyo wapewe polisi , mambosasa awe ndio mteuzi